10 Reasons Why African Men DON’T ROCK!

hahah hio ya kushave his head hata kama itamfanya aonekane kama peacock imenichekesha sana.....
 
this is a brilliant observation esp. coming from an african man talking about his. usually our african men never want to tackle these issues, let alone talk about them men to men. This brings a huge gap between them and their wives/our emancipated black women.
Afu wewe mtoa mada inaonekana kiswahili hukijui kabisaa...lol.. Takutafuta unipe tuition ya kiinglishi asee!
 
this is a brilliant observation esp. coming from an african man talking about his. usually our african men never want to tackle these issues, let alone talk about them men to men. This brings a huge gap between them and their wives/our emancipated black women.
Halafu mkuu angalau basi hata unge-acknowledge mwandishi aliyeandika hii kitu kuliko kukopi hadi comments za wachangiaji kwenye site ulipoitoa na kuonekana kama vile comments umezitoa wewe.
 
Lol sweetie, inamana sijipendi au?.. Unavyonisaidia kuosha vyombo na kupika kweli unategemea ntie neno?.. Hivyo ulivyo smart mda wote umeshave sehemu zote! Ndio mana nakazana kusema sio wote!
Hahaha!! Wewe ngoja nikanyoe kipara kabisa
 
Tetea aise maana hapo sio wote wako hivyo bana
Wengi wameshabadilika na ukikutana nao kuanzia nyumbani hadi mtaani wamebadilika sana
Kuanzia kuzijali familia zao na kuwapenda wake zao sio mbele ya wakwe tuu hata katika mazingira ya kawaida
Hiyo namba 10 inakuhusu sana nasikia una Phd 2 na MBA 5
 
Tetea aise maana hapo sio wote wako hivyo bana
Wengi wameshabadilika na ukikutana nao kuanzia nyumbani hadi mtaani wamebadilika sana
Kuanzia kuzijali familia zao na kuwapenda wake zao sio mbele ya wakwe tuu hata katika mazingira ya kawaida
Well said Mr. Rocky, wanaume wa kizamani ndio walikuwa kama hiyo namba 5, 7, na 9...nyie wa siku hizi kwakweli mwajitahidi sana, sana. Ukikuta mwanaume haijali familia, (mke na watoto) jua ana matatizo ndani ya kichwa chake...na wala sio uanaume wake unamfanya awe hivyo!
 
The author Of this article, Mubita C. Nawa admits that he too is an African man who is struggling with his own upbringing. But he also gives recommendation/solutions

RECOMMENDATIONS OR SOLUTIONS

1. Interpersonal Skills Training: Men must be taught from an early age what it means to relate to others. It must begin with self relationship. Being in communion with oneself.

2. Redefining Manhood:
For generations men have struggled defining who a rue man is. Often the yardsticks are number of children, number of women, and the size of you know what. But time has come to say that a real man is a man whose emotional intelligence is greater than his IQ or even the size of tires on his car. It is time we told men that it is OK to cry.

3. Women must be Women: African men are a bit confused by African women. Women must go back to being mothers, nurturers, guides and gentle souls that men can count on. If our women are misplaced, so too will our men. It is OK for a woman too work, make money, and all. But she must never take the position of a man. She will fail.

4. Dialogue: Men must communicate more. Women must listen too without nagging. Let us talk about where or what we did wrong. Let us talk about it with mutual respect and candor.

5. Fall in Love with Humanity: Men must love their children more than their ‘adult' toys. Men must love their wives more than their side kicks. Men must love being home more than the sports bar. Men must go back to the basics of life. Men must lead. A true man is a true leader. He is a priest, a prince, and shepherded, a lover and sure enough a man. Men must love people and the process of engaging and interacting with people. That for me is what rocks.
 
Halafu mkuu angalau basi hata unge-acknowledge mwandishi aliyeandika hii kitu kuliko kukopi hadi comments za wachangiaji kwenye site ulipoitoa na kuonekana kama vile comments umezitoa wewe.
Hahah! Hivi kumbe hapa twachangia copy & paste??? Haki zote zimehifadhiwa au bado?
 
We no 6 inakuhusu sana maana we umekazania soccer na politics tuu na no 9 maana hiyo harufu yako ukichanganya na sigara unazovuta ni kama harufu ya beberu la mbuzi lol
Hahaha!!! Nanukia marashi ya pwani...lol
 
Well said Mr. Rocky, wanaume wa kizamani ndio walikuwa kama hiyo namba 5, 7, na 9...nyie wa siku hizi kwakweli mwajitahidi sana, sana. Ukikuta mwanaume haijali familia, (mke na watoto) jua ana matatizo ndani ya kichwa chake...na wala sio uanaume wake unamfanya awe hivyo!

Asante sana
Wengi siku hizi kwa kweli wako mbele sana kwenye masuala ya kuzijali familia zao na wake zao
Ukimkuta mtu ambaaye yupo yupo tuu haijali familia au mke wake au ana yale mambo ya kizamani kuwa mke hana sauti au yeye ndio yeey ndani ya nyumba au akiingia ndani watoto wote wanajifanya wamelala au sijui hakuna mtoto kushika hata funguo za gari ya baba huyo ni limbukeni
 
Ok... Ningekusindikiza ila wacha mie nibaki hapa home niendelee kuandaa dina... Usichelewe coz naweka na maji ya kuoga kabisa..lol... wanaume wa siku hizi wanaoga ati!
Halafu wewe naona unapiga madongo kimya kimya nimekustukia.....muone kichwa chake kwanza
 
Asante sana
Wengi siku hizi kwa kweli wako mbele sana kwenye masuala ya kuzijali familia zao na wake zao
Ukimkuta mtu ambaaye yupo yupo tuu haijali familia au mke wake au ana yale mambo ya kizamani kuwa mke hana sauti au yeye ndio yeey ndani ya nyumba au akiingia ndani watoto wote wanajifanya wamelala au sijui hakuna mtoto kushika hata funguo za gari ya baba huyo ni limbukeni
Umeonae?.. Hongereni sana kwa hayo mabadiliko!... Washamba ndio ambao hawajabadilika!..
 
Back
Top Bottom