10 most influential Tanzanian Women for the yr 2011

Hebu tueleze katika hao waliotajwa mmoja mmoja wameifanyia nini Nchi hii masikini na omba omba ya tatu Duniani baada ya Irak na Afghanistan!!!!!!
 
Unapenda umbea ehhhh?

Kulikua na ulazima gani wa kusema watataka watolewe na watu waiwahi?Watakaochelewa watakosa nini cha maana?
 
Mama wa EGYPT kaja na list mpya sasa iwahini muiweke hapa kabla hao waliotajwa hawajamwakia awaondoe from her blog

10 MOST INFLUENTIAL TANZANIAN WOMEN FOR THE YR 2011......

Mange's U-turn Blog said:
List imeandaliwa na Mange:
1.Sporah Njau - Talk show host, UK
2.Ritha Paulsen - Bongo star search...
3.pindi Chana.....
4.Mwanaidi Maajar - Tanzanian Ambassador to the USA....
5.Mwamvita Makamba - Chief, Marketing and Corporate affairs Vodacom Tanzania...
6.Khadija Mwanamboka - Tanzania Mitindo house....
7.Mange Kimambi - Socialite ,Blogger....
8.Dina Marios - Radio Presenter...
9.Anna Makinda- Speaker, house of Parliament
10.Dr. Mwele Malecela - Director general NIMR....

nimefanya msaada tutani wa kuweka hiyo list hapa ili tushirikiane kuwajadili.

1.kwa kuanzia, haiko wazi katika u-turn blog kuhusu vigezo ambavyo vimetumika kuweza kutambua na kupima hiyo influence ya hao akina mama.
2. Haikuelezwa kuhusu sphere of influence ya hao akina mama, mfano yes Bi Kidude ni mkuu kule mjengoni, ame-influence nini na wakati gani.....na je ni kweli ana-influence au anatumia mabavu kuendesha mambo???

Hoja yangu ki-msingi iko kwamba kama mtu ana influence basi tujue katika issues zipi, hata nishani zinapotolewa huelezwa sababu na si mtu kuamua tu kwamba fulani na fulani kadhaa pasi na sababu.

Ni mtazamo tu anyway, blog ni ya Mange na ana haki ya kufanya anachokitaka na blog yake.
 
Back
Top Bottom