10 Facts about dreams

I am a deamer. A big dreamer! Sijui hii kichwa kiwanda inafanza nini. Wakati mwingine naota ninachowaza. Wakati mwingine naota watu niliowasikia na ambao siwajui (wengine membwrs wa jf, hehehe). Sometimes naota kitu, then the exact happens a few days later! Staki hata kuwaza hapa manake nitaota hii thread later when i sleep!
:banghead::banghead:

Hahaha,du!
 
Hii kesi ya dream Mimi inanichanganya sana, kipindi icho niko secondary, darasani kulikua kuna mwanamke simpendi sana kutoka na tabia Zake mbaya, lakini ilikua haifiki mwezi namuota mimi na yeye tunatembea, sometime naota ndo mke wangu, kwa ukweli nlikua nachanganyikiwa sana kumuota huyu mdada. Lakini sasa hivi yeye ameshaolewa
 
During my 20's nilikuwa naota kuruka/kupaa angani sana (almost kila wiki ilikuwa lazima nitaota ndoto ambayo mimi nakuwa naruka angani!). Siku hizi imepungua sana ingawa inatokea mara mojamoja.

exactly the same to me, mpaka sasa hua naota napaa angani mara kwa mara, i think utafiti wa kina ufanyike, mi hua naota matukio kisha nikiingia kwenye mitandao nakutana nayo. jana mchana wakati mke wangu ana andaa lunchi niliota nipo houston kwa mama mdogo eti mara nikasikia sauti ikinitakA niache dhambi na nimpokee yesu kama mwokozi wangu. nikawa nabisha huku nikitaka ushahidi kama kweli yesu ni muokozi matokeo yake kichwa changu kikabonyea kwa mbele na kutoa ishara ya msalaba eti nikawa nalia huku natubu mbele ya mzungu mmoja ambae alitajia jina lake,mara mke wangu akaniamsha na kuniambia kua nililala vibaya na nilikua naweweseka sana, nilivyostuka nikaamua ku google jina la yule mzungu mara akatokea kua ni admission officer wa houston bible school na nikakuta namba za simu. kwa kifupi nimechanganyikiwa sijui kwanini. mimi nimekua mpingaji mkubwa wa uwepo wa mungu na dini kama alivyo kiranga. anaeweza kunisaidia nitashkuru sana.
 
Cc Kiranga
 
Last edited by a moderator:
dr wasengamila nahitaji mawazo yako na yoyote mwenye ideas kwanini niote mambo kama hayo? while the last thing to me is to be christian. nimekua nazichikia dini kwa muda mrefu lakini hii hali inanifanya nihisi kua kuna mambo mengine yapo juu ya uwezo wetu wa kibinadam
 
Back
Top Bottom