nipeukweli
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 656
- 348
Ndoto huwa haishi that minz tukio halifiki mwisho mhusika lazima azinduke, wanadai ukiota na ukifika mwisho wa ndoto ujue umekufa haupo hai, je hili lina ukweli? binafsi sijawah ota ndoto ikaisha lazima itakatikia sehemu.
kiukweli binafsi sina uhakika na hilo...ila mara nyingi sweet dreams ndiyo zina katabia ka kutoisha, mie (kwa mawazo yangu) naona kama tunaona hazifiki mwisho maana tuna kuwa na hamu saaaana ya kuona mwisho wake (coz they r sweet, it's like we want to live in them). inapokuwa ni night mare, thubutuuuu...kwanza yale matukio ya kuogopesha kwenye nightmares zinafanya mpaka ur conscious mind ishtuke kiasi kwamba unaamka (tena mara zingine huku unatweta). that's my thinking with regards to the matter