1 year annivesary

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
This is my first year since i have been in jf.Namshukuru Mungu kwa ushauri na challenges nyingi nilizizopata,ambazo zimenisaidia sana na ninashukuru kwa marafiki niliowapata hapa ambao wamekua kama familia na ndugu zangu. Japo Nimekuwa busy sana na mambo ya kujenga taifa letu lakini sijawasahau wote na ninawapenda sana.,tuendelee kushirikiana.
Ahsanteni
 
Ka! Kumbe eehhhhh
 
Kabakabana usiwe unapotea ivo mamito! U have been missed here! welcome back, na hongera kwa anniversary
 
Last edited by a moderator:
"This is my first year since i have been in jf.Namshukuru Mungu kwa ushauri na challenges nyingi nilizizopata,ambazo zimenisaidia sana na ninashukuru kwa marafiki niliowapata hapa ambao wamekua kama familia na ndugu zangu. Japo Nimekuwa busy sana na mambo ya kujenga taifa letu lakini sijawasahau wote na ninawapenda sana.,tuendelee kushirikiana.
Ahsanteni" BY KABAKABANA

Wow! what a pleasure to see you back after a long absence! And congrats for being here for one year. Muda mrefu wenye marefu. ulishakulaga ban ngapi?
 
Ahsante kipenzi,aisee hilo panga la paw halijawahi kunipata kabisa.
 
Back
Top Bottom