$ 1 = Tshs 1800 (02/11/2011)

hivi tuna foreign currency ya kiasi gani?

je balance sheet yetu ikoje?

website ya wizara ya fedha na BOT zinatoa stats zipi?
 
Kama hali itaendelea hivi, nadhani muda si mrefu tutatoa noti ya elfu 20
 
Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi? Mbona leo nimebadili USD kwa Tshs 1,660.
 
ikifika 2015 sijui itakuwa imepanda zaidi au imeshuka!!! Daaaaaa!!! Wanauchumi harakati zenu mbona hatuzioni....Benno Ndullo sijui amesinzia...au Wanasubirii kama ya arusha yatokee nchi nzima ndio waanze kuchukua hatua
 
Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi? Mbona leo nimebadili USD kwa Tshs 1,660.

Mkuu huko vichochoroni washakukaba, kama umeuza Dolari kwa hiyo rate ya 1$ kwa 1660. Labda kama umenunua dola kwa hiyo rate.
 
Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi? Mbona leo nimebadili USD kwa Tshs 1,660.

Mkuu umenunua dolla au ulikuwa na dolla ukanunua shilling? Hapa tunaongelea kama unahitaji dolla ndo unanunua kwa rate ya $1 = Tsh.1800
 
.........badala tushughulikie uchumi, tumekalia fitina za urais 2015 (magamba),,.....hv mmemsikia JK ameongelea hili? Ni aibu iliyoje kama taifa. Tukome na kutokufikiri kwetu.
 
Kwa jinsi tunavyotumia mafuta kwa wingi na ufanisi mbovu..... shilingi yetu kamwe haitakuwa ngangali....
 
Duh kazi ipo. Sasa umuhim wa akina lipumba upo wapi?aibu, kinyaa na kichefu chefu yaani tuna shindwa hata na rwanda. 3200 faranga ni 10000 za madafu. Pumbaff!
 
Ndio kama hivo uchumi wetu unakua vema sana chini uongozi thabiti wa CCM ambao huko nyuma kidogo husemekana kwamba kweli KIUFISADI zaidi wao wamethubutu, wametushinda walipa kodi, n sas wanasonga mbele kutuzika kabisa na ugumu wa maisha kiasi hiki.
 
Wakuu, naungana na Mwita. Huku ZNZ dola moja =1683. Hizi taarifa nyengine sijui zinatoka wapi.
 
Wakuu, naungana na Mwita. Huku ZNZ dola moja =1683. Hizi taarifa nyengine sijui zinatoka wapi.

Kama umewauzia hizo dola lazima wanunue kwa bei ya chini!! Ili kukukomoa, Na kama umenunua hizo dola basi bahati iliyoje, inabidi kuzinunua nyingi zaidi ili december unatengeneza faida kuubwaaaaaaaaaaa kwa jasho la kuku.
 
Hizi taarifa huwa mnazitoa wapi? Mbona leo nimebadili USD kwa Tshs 1,660.

Je TZS kwa USD ni ngapi. Rate quote ni two way, selling na buying. Wewe Ukiwa na dola unataka shs rate utakayopewa ni buying rate. Ukiwa na shs unataka dola rate unayotumia ni selling rate. In most time selling rate ni kubwa kuliko buying rate na spread Mara nyingi ni kama shs 200 . So Kama uliuza dola zako kupata dafu ni Sawa hiyo rate. Aliyoweka hapa ya 1800 ni Sawa kabisa
 
JK ALIKUWA kilaza wa kutupwa...... digriii ya uchumi hamna anachokifahamu.....cijuw akiachia ngaz nitampa scholarship nimpeleke chuo chochote akapge shule!!!!!!!#
 
Back
Top Bottom