1 ball,2 balls,3 balls

wewe uwe unakuja na topic zakoza kuonana na wenzako mliomaliza darasa la saba mwaka jana_hayo mambo unayokuja nayo unawashitua wakongwe akina AD

hahaha,haya bana!
Ni vyema kama hujawahi ona tatizo hilo,...
au,...unalo na hutaki liongelewe.
 
Yaaah kuna mzee yupo anafanya kazi halmashauri ya korogwe tanga anazo nne ila ni mzee balaa sana anasifika kwa performance yake ni kila siku ni goli nane na kuendeleaa..........

Nilitaka kuamini,lakini chumvi imekua nyingi sana.
 
Mwambie dear,hujambo lakini ?

Hamna cha three wala four balla naona mna-confuse na hizi pool mnazocheza 24hrs hahaha! wataalamu wa afya watatujuza zaidi.nijuavyo mimi hawa wenye moja huwa ingine imepanda tumboni na isiposhushwa kwa upasuaji ina madhara.Pia kuna wengine pamoja na mbili za kawaida kunakuwa na uvimbe kama gololi kubwa unayoweza kuhisi ni ya tatu,Hiyo ya sijui 4 na kuendelea sijawahi kusikia.

Infact,huyu nae mjua mimi alifanyiwa upasuaji
na iliyokua juu ilikua imesha haribika so wakaitoa kabisa.
He is perfect on bed,according to him.Ila ukweli zaidi anaujua mke wake.
 
Mimi ninazo 5 nguvu yangu kama gridi ya umeme wa Taifa la USA sio TZ. Kutokana na kuwa na extra energy nilioa nikiwa na miaka 20. Kwa sasa nimefanya vasectomy

Duh,hadithi hii inatufundisha nini jombaa?
 
Clemmy i have read and re-read nimeishia kupata infor tu..... Sijui umewaza nini....

Nataka kujua kama wengi wapo wenye hali kama hii.
kwa mfano,jamaa mwenye moja alikuaga muoga sana hata kuongea na mzazi
wake kuhusu hilo.

Alikua akiongea na sisi rafiki zake tu.
Hadi pale alipopata maumivu sana ndipo akasema na akapelekwa
kufanyiwa upasuaji.

Yawezekana kuna wazazi wanapata mtoto hawamkagui kujua kama ana korodani moja
na wakiwahi kumfanyia upasuaji utotoni ita either rudishwa chini au itaokoa maisha yake
maana nasikia maumivu ya hiyo inayopanda juu hua ni makali sana.

Ni elimu ya mtaani tu AD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom