0713800800

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,138
16,203
Unapopiga tigo 'customer care service' number 100 wanaku - Direct kupiga hiyo number juu kwa tittle huku wakiongeza kuwa huduma hii itatozwa sh 50, ikitokea umepiga ni bora utumie headphone kabisa maana unaweza kumaliza saa zima na isipokelewe hata wiki nzima tena mara 3 kwa siku unaishia kusikiliza instrumental tu. huenda hii ni mbinu mpya ya kibiashara na inawaumiza wengi hasa walio nje ya mji
 
Hao wana namba za ziada kuwasiliana nao ambazo ni 15301, 15302 & 15303 utawapata kirahisi kwa helpline,
Ila bado nazo ni ngumu pia kuzipata, hiyo shilingi 50 ndo lol!!! Hapo huenda ni biashara mpya hiyo
 
mhn huu unyonyaji ndio maana mie I am happy with Airtel sie tuna huduma yetu tofauti ukipiga unapokelewa hapohapo "high value customer"

mkuu chunguza tuu kunamahali wanakunyonya hawana huruma hawa kabisa mfano walisema kupiga mitandao mingine nikiwango kmoja ila ukipiga unakuta wanakula pesa zaidi
 
Hii namba huwa tigo inapigia customers wake kwa kutumia hii namba kweli;? 0713800800 aliewahi kupigiwa na hii namba please...
 
Hii namba huwa tigo inapigia customers wake kwa kutumia hii namba kweli;? 0713800800 aliewahi kupigiwa na hii namba please...
mkuu mm wamenipigia km nusu saa hivi lililopita kwa namba hii, ofcourse najua ni namba yao, japo nikapata shaka kidogo maana juzi nilikua na shida nikawapgia, yule dada alienisaidia mwishoni nikamuomba namba yake, mara ya kwanza akakataa lkn mwishowe akanitajia.
Pia leo kuna mtu nilimpa namba yangu hapa jf kwa ajili ya biashara
waliniuliza naonaje huduma zao, ushauri na nilipo, tukaagana yakaisha.
 
Mi nimepigiwa na namba hii nakaikumbuka zamani sana ilikuwa bypass ya 100 kama unataka ongea na watoa huduma nimeongea nao na walikuwa wananisisitiza nikajisajir kwa finger print
 
mkuu mm wamenipigia km nusu saa hivi lililopita kwa namba hii, ofcourse najua ni namba yao, japo nikapata shaka kidogo maana juzi nilikua na shida nikawapgia, yule dada alienisaidia mwishoni nikamuomba namba yake, mara ya kwanza akakataa lkn mwishowe akanitajia. Pia leo kuna mtu nilimpa namba yangu hapa jf kwa ajili ya biashara
waliniuliza naonaje huduma zao, ushauri na nilipo, tukaagana yakaisha.
Asante chief, maana ilini miss call na mm mchana, nikapata ukakasi kidogo, kumbe ndio utaratibu wao, nadhani wanafanya survey, kukusanya samples ili kuboresha huduma zao.
 
Asante chief, maana ilini miss call na mm mchana, nikapata ukakasi kidogo, kumbe ndio utaratibu wao, nadhani wanafanya survey, kukusanya samples ili kuboresha huduma zao.
itakuaaa, au ka vip wa bip mzeee au waambie ile hela tuma kwenye namba hii......hahaaaaaa
 
Mimi wamenipigia pia wakawa wananiuliza kuhusu huduma zao kipi waongeze na changamoto zilizopo baada ya kuongea nao wakakata.
Hii namba huwa tigo inapigia customers wake kwa kutumia hii namba kweli;? 0713800800 aliewahi kupigiwa na hii namba please...
IMG_20082019_185201.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom