07/2008 Pigo kubwa kwa serekali awamu ya 4

Nadhani hii mada pia ingeunganishwa kama kweli inahusiana niyo hapo juu ili kuweze kuwa na mtiririko from speculation to reality
 
Hasara

Uko wapi ututegulie hiki kitendawili
maana kama habari ni hiyo ya Balali tujue kama vinginevyo tujulishe tuendeleee kusubiri
 
Back
Top Bottom