07/11/2011 Mnyika ATOA TAMKO DODOMA.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Mbunge wa jimbo la ubungo leo katika mkutano wa hadhara Dodoma,ametoa tamko kwa Magamba,hawawezi kukaa kuzungumzia maswala ya Uniform katika taasisi za elimu,mpaka Watoe lile bango pale UKUMBI WA CHIMWAGA DODOM.LINALOSOMEKA kwa MAANDISHI MAKUBWA CCM,watafikiria kukaa nao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom