01 Jan 2012 Week 52 Sielewi!!!

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Great Thinkers mie nashangaa kalenda ya simu yangu ya kitochi eti inaonesha leo ni tarehe 01 Jan 2012 week ya 52, wakati mie nilikuwa naelewa inatakiwa iwe week ya kwanza, pamekaaje hapa???? watalaamu saidieni.
 
No pan, angalia vizuri ... .... .... .... .... ....
 
No pan, angalia vizuri ... .... .... .... .... ....
Nimeangalia mpaka sasa inaonesha hivyo, hebu kama unakisimu cha kitochi au simu inayoonesha tarehe na week wewe cheki, ila usitumie smart phone. Nadhani kuna tatizo! au watalaamu wafafanue
 
ni kwasababu most of the days za hii week zilifol under week 52 ya mwaka 2011,,, its only today that has fallen on week 1,year 2012, na calender ya simu imekua programmed kusoma ivo kaka, kwamba the majority days first
 
jamani mbona jambo jepesi tu hilo? Kama kalenda ya simu yako inasema week start ni Mo day ujuwe leo siyo Monday.
 
Back
Top Bottom