Raia mmoja wa Tanzania amekatwa katika mji wa mombasa nchini kenya kwa tuhuma ya kukutwa na shehena ya silaha za kivita. Mtanzania huyo alikamatwa pamoja na raia sita wa somalia. Habari za kipolisi zinasema watu hao walikamatwa baada ya polisi kupata taarifa za watu kuwa na shehena ya silaha za kivita zilizokuwa zimefichwa katika kisiwa cha malindi. Bado jina la mtanzania huyo halijapatikana na polisi wanaendelea na uchunguzi... Source KBC1 News bulletin.. 16 Dec 2009.
To get something you never had, you need to do something you never did
Re: Mtanzania akamatwa Kenya na shehena ya silaha!!!!
By Laligeni
Raia mmoja wa Tanzania amekatwa katika mji wa mombasa nchini kenya kwa tuhuma ya kukutwa na shehena ya silaha za kivita. Mtanzania huyo alikamatwa pamoja na raia sita wa somalia. Habari za kipolisi zinasema watu hao walikamatwa baada ya polisi kupata taarifa za watu kuwa na shehena ya silaha za kivita zilizokuwa zimefichwa katika kisiwa cha malindi. Bado jina la mtanzania huyo halijapatikana na polisi wanaendelea na uchunguzi... Source KBC1 News bulletin.. 16 Dec 2009.
kidogo nihisi MWAKALINGA!:D
'!....Wakatafuta Namna Nzuuuuuuuuriiiiii.....WAKASHUG HULIKA....!'
Re: Mtanzania akamatwa Kenya na shehena ya silaha!!!!
By Laligeni
Raia mmoja wa Tanzania amekatwa katika mji wa mombasa .... Mtanzania huyo alikamatwa pamoja na raia sita wa somalia. Habari za kipolisi zinasema watu hao walikamatwa ...
Kwa nini kichwa cha habari kimeongelea U-TANZANIA badala ya Watu SABA wakamatwa na Shehena ya Silaha? Au U-SOMALI hautambuliki?
Ad Majorem Dei Gloriam - "For the greater glory of God"
Re: Mtanzania akamatwa Kenya na shehena ya silaha!!!!
ubaguzi..hata katika uwiano tu umeshindwa kufikiria?
Ikiwa ni wasomali 6 na mtz 1, sasa huoni wapi unapaswa kuweke mkazo?
Inaonekana Watanzania ni watu bora sana ndo maana mleta uzi ameona apige yowe?
Nauliza tu.
Follow Us Here