Heheh'ni lip kati ya haya hujawah kufanya utotoni:
1:kucheza kombolela
2:kukojoa kitandani
3:kulamba mafua
4:kubaka panzi
5:kulilia nguo za ckukuu
6:kucheza kibaba na kimama
7:kukimbia kuoga
8:kutembea na chup iliyo kaa kalio moja
Heheh'ni lip kati ya haya hujawah kufanya utotoni:
1:kucheza kombolela
2:kukojoa kitandani
3:kulamba mafua
4:kubaka panzi
5:kulilia nguo za ckukuu
6:kucheza kibaba na kimama
7:kukimbia kuoga
8:kutembea na chup iliyo kaa kalio moja
6:kucheza kibaba na kimama
True leadership must be for the benefit of the followers, not the enrichment of the leaders!
namba 8 lol
ONE LOVE, ONE HEART, LET'S GET TOGETHER N .............................! !
Ila "kamasi" zilikuwa na ladha yake jamani! Utoto ni nouma.
"Rather than love, than money, than fame, give me truth" ----Thoreau
2 na 8
Duh kulamba kamasi aise utoto bana
When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams
9;kudokoa nyama jikoni
10, kuwakimbiza washikaji wanaokuja kucheza kibarazani wakati siku hiyo kumepikwa wali na mandondo
11. kugoma kulala mchana
12. kukatalia mpira wako (kuondoka nao), wakikukata mtama au wakikuumiza wakati mnacheza mpira!
mh! napita mkuu,....
..........When you run out of rope; grab onto faith.......... T.B Joshua
"DONT BE A WOMAN THAT NEEDS A MAN BE A WOMAN A MAN NEEDS!!!!"
Mh mama'ngu alikuwa mkali huyoHeheh'ni lip kati ya haya hujawah kufanya utotoni:
1:kucheza kombolela
2:kukojoa kitandani
3:kulamba mafua
4:kubaka panzi
5:kulilia nguo za ckukuu
6:kucheza kibaba na kimama
7:kukimbia kuoga
8:kutembea na chup iliyo kaa kalio moja
no.1,4,6 labda kama najua ameenda mbali sana ingawa pia watoto majirani walikuwa wananisemea akirudi'
no.3,5,7,8 sina kumbukumbu hiyo maana ilikuwa ukijaribu tu....
no.2 mmh hii sana tu.
Hivi ni kweli ukiruka stage unairudia ukubwani?
Kaunga yawezekana ulikuwa rafiki yangu utotoni. Lol!
“Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
Albert Einstein
hayo ni mambo ya watoto wa uswahilini ,sisi wa uzunguni wala
hopkingsclark
Follow Us Here