Re: Kenyan gay couple file for divorce two years after wedding
Wanachoniudhi hawa mashoga ni kwamba wanahubiri tabia yao kama dini vile.Wana tabia moja, wakijisikia huru sana basi hawachelewi anza waambia watoto kuwa ni okay, kuvaa nguo za kike, kujipodoa, na baadaye kuwa kama wao.
Nasikitika kwamba hata wapinga ushoga, kuna sehemu wanaufanya wa kawaida sana kwa utani wafanyao, kwa kujisifu, kuwageuza wanawake nyuma, na hata kuwatazama, na wengine kujisifia kuwa wamewafanya.
Nadhani imefikia mahali tuweze weka wazi, kuwa tunaheshimu haki yao kuishi ila hatukubaliani na wala hatuuheshimu ushoga, na atakeyekutwa akiineza hali hiyo aadhibiwe..Mbona tunawaadhibu wauza unga na bangi ,ingawa hatuuwi mateja?
SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.
Follow Us Here