|
Quote: |
|
 |
|
|
Nini hasa unachoomba hapa, kwanza umebadilika ghafla kutoka kwenye mada kuu ukahamia kwenye files extension, hata kama unazihitaji bado hujasema una shida gani tukusaidie |
|
|
|
|
soma post yangu ya kwanza vizuri. nilitaka watu wanipe tu mapendekezo kutokana na uzoefu wao vitu gani vya kublock kwa kutumia proxy server. Nimepata client swengi wanatumia broadband kwa cafe. TTCL wamewapa advice walimit downloads na upload ya files kubwa. Napost yangu ya mwisho nikatoa mfano wa wa file extension chache ambazo naweza kublock lakini sizijui zote. Mfano wenye proxy server unaweza block mtu asidownload executable files. Executable file mara nyingi huwa zinakuwa mafaili makubwa. Pia media files huwa zinakuwa kubwa. Sijaenda off topic. I thought kwamba lengo la hapa ni kudiscuss science na technology mbali mbali ambazo zipo. Ndo maana nikaleta hii thread niweze kubadilishana mawazo na wenzangu kuhusu practical experience yao ya hiki kitu. Badala yake naona instead ya ku discuss ideas imekuwa ni personal attacks mfano eti naambiwa mi nitamshaurije mtu wakati na mimi sijui kitu. Hatujuani kwa hiyo dharau so kitu chema.
Naomba kufunga hii thread msaada siwezi kupata hapa i will try to look somewhere else.