| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1539
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mimi natumia hii kwa sasa:
![]() I can recommend it for you, lakini inategemeana na uwezo wako mfukoni. Ina specs hizi: Operating System: Genuine Windows Vista® Home Premium (SP2) Memory Size (GB) : 4 Hard Drive Capacity (GB): 500 Hard Drive Speed (rpm): 5400 Na zaidi unaweza kusoma hapa
__________________
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! ![]() Thank you for supporting JF! <---(click to support us) Waliochangia 2010: <--- (click to read) JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read) ![]() 24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com ![]() |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mkuu Invisible, naona uko vizuri:
Mimi niko hapa: Dell Inspiron 1535 ![]()
Ninachoweza kusema naona kama XP niliyokuwa natumia iko vizuri kuliko VISTA. Pia mine is 64-Bit and many software are running at 32-Bit. Ushauri: Angalia matumizi yako ni nini kwanza. Invisible and even my laptop are on a higher specs and may not be all you need for just a standard use. Also look at your budget. Good luck! |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mkuu Superman, hiyo laptop yako kama ya kijana wangu mmoja hapo Dar, kila kitu... Yako ina fingerprint reader?
__________________
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! ![]() Thank you for supporting JF! <---(click to support us) Waliochangia 2010: <--- (click to read) JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read) ![]() 24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com ![]() |
|
#5
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
HP ilikuwa na Finger Prints Reader. Hii kwa kweli sina uhakika kwa kuwa ina features luluki. Napenda kuamini haina. |
|||||||||||||||
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ushauri unakuwa mgumu kidogo kukupa kutokana na kukosekana kwa budget yako kwa hizo laptop. Mara kadhaa nikiitwa kuangalia matatizo ya laptop/desktop za rafiki zangu kitu common ninachokutana nacho ni bei ya hizo computers over 95% ni zile za gharama nafuu sana bila kujali brand name ya hizo computer.
|
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Wakuu Superman na Invisible, nadhani mada haikuwa kutuambia wewe unatumia notebook ya aina gani. Unayotumia wewe unaweza kuwa unaipenda vibaya mno kwa sababu uko kwenye denial, umeshainua, ufanyeje, yabidi uipende, hata kama mashine michoso kinyama.
Kwa mfano, Invisible na Sony yako, hukuona hata haipo katika zile zilizosemwa zinakuwa considered? Notebook making is note Sony's best suit. Na specs hapa sio ishu. Ili tulinganishe, tuna assume ukiwa na notebooks mbili, zenye specs zile zile, na bei ile ile, au mfuko sio tatizo, moja Toshiba moja Dell, ipi bora? This is a no contest, huwezi kulinganisha perennial award winning Toshiba notebooks na mashine famba za Dell! Toshiba inakubalika duniani as the premier notebook maker:
|
||||||||||||
|
#8
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Kubwa ni kuwa muuliza swali hakutaka kulinganisha makampuni yanayotengeneza laptops au nchi zinazotengeneza laptops kwani hiyo yeye itamsaidia nini. Yeye anataka laptop ya kutumia yeye mwenyewe na anatatizika kati ya hizo mbili, na labda apewe hata ya tatu. La maana ni kumsaidia kufikia uamuzi huo na kufanya hivyo inabidi achokozwe kwanza kabisa: a. Anataka laptop kwa matumizi gani hasa (ofisini, nyumbani, kuandikia tu, graphics n.k) b. Bajeti yake ikoje c. n.k Mkishapata taarifa za kutosha ndipo hapo ni rahisi kusema hii ni bora au hii inakufaa kulinganisha na hii.
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
i would advice you to go for Dell. i have been doing a research in many laptop brands n when i compare the two brands you mentioned above i think dell is better. if specification is an issue too dont hesitate to ask me, doors r open. All the best Brother
|
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
I'm a Toshiba person so i'll advice you to go for Toshiba.
cheers
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 04:22 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||