Wataalamu naomba ushauri wenu. Nahitaji laptop mpya ya bei nafuu kidogo ila imara. Nauliza kati ya Dell na Toshiba ni brand ipi bora? Nitashukuru kwa msaada wenu.
Re: Nahitaji laptop: Naomba ushauri ninunue Dell au Toshiba?
Kati ya Dell na Toshiba, nunua Toshiba.
SteveD.
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.
i would advice you to go for Dell. i have been doing a research in many laptop brands n when i compare the two brands you mentioned above i think dell is better. if specification is an issue too dont hesitate to ask me, doors r open. All the best Brother
Kaka nakushauri ununue TOSHIBA huyu Innopacho asikuzuge,yeye comp yake ya kwanzak utumia ni HP tena second hand na tangu hapo hajawahi kutumia laptop,yeye ni kuungaunga tu.Sasa siju hizo research kafanya lini wakati yeye kazi ni kula manto na ku-download software za wizi.Nunua TOSHIBA ndugu nakushauri,ni mashine za uhakika.
__________________
We Cherish Our Friends Not For Their Ability 2 Amuse Us But 4 Our Ability 2 Amuse Them!!!!
Re: Nahitaji laptop: Naomba ushauri ninunue Dell au Toshiba?
Kama bado huja amuua ipi utanunua chukua shilingi irushe juu, Kichwa "Dell" Mwenge "Toshiba". Hizi laptop zote hutengenezwa Asia!!!! Halafu cha muhimu kukumbuka ni kwamba Laptop ziyo urithi, Miaka miwili mitatu inatosha sana kuanza kufikiria Laptop mpya...
Re: Nahitaji laptop: Naomba ushauri ninunue Dell au Toshiba?
Kuna laptop kadhaa za DELL nimeona vitufe vya keyborad vimeng'oka. Nadhani Toshiba zina ubora zaidi kuliko DELL.
I'm a HP man. Kama sijakosea, zinapatikana nyingi sokoni; hii itapelekea wewe kuwa na urahisi wa kupata spare baadae ukihitaji (you can replace screen, battery, etc).
Re: Nahitaji laptop: Naomba ushauri ninunue Dell au Toshiba?
Nawashukuruni nyote kwa ushauri wenu. Kwa kuwa matumizi yangu ya laptop ni ya kawaida na kulingana na bajeti yangu ndogo nimeamua kununua Dell Studio 1555 320GB. Nitafanya maarifa ya kununua Toshiba hapo baadae.
Re: Nahitaji laptop: Naomba ushauri ninunue Dell au Toshiba?
Mi mbona nina Dell tena latitude D600
processor 1400MHz,598 MHz
ram 512 MB,win xp sp2,
kana miaka 3 nilikanunua kwa mtumba nakatunza mpaka leo nadunda nako JF.
kila kitu matumizi tu na ujue kuitunza.
I suggest Choose DELL.
__________________ " The road to success is always underconstruction "-Lily Tomlin