Wakulu kuna kitu hii imenikuta......Ninajaribu kuongeza HD kwenye mashine na kila nikiiboot napata error ifuatayo..."Drive 1 not found: serial ATA, SATA-1 strike F1 to continue, , F2 to rn the setup utility" Nimejaribu kila njia lakini naona inanizidi maarifa.....Msaaada tafadhali....
Aksanteni!!
__________________ A positive attitude may not solve all your problems,but it will annoy enough people to make it worthwhile......
kwanza kabisa hakikisha hdd yako inayoweka ni jumper yake ipo kwenye sehemu ya slave au ikiwezekana itoe kabisa ndipo uiweke na pia uhakikishe kuwa data cable zote na power ya kwenye hdd imeikonect kama ile iliyo kama master pia hakikisha hiyo iliyo na os jumper yake ipo kwenye master.
Mkuu SATA walishaondoka kwenye age ya jumpers za master na slave kitambo tu.....
__________________ A positive attitude may not solve all your problems,but it will annoy enough people to make it worthwhile......
Wakulu just an update...nimeweza kulitatua tatizo langu...ilibidi niivunjie shughuli na kuitengea muda. Baada ya kuzunguka huku na kule nimeweza kupata update driver moja nikaistall then imekubali...sasa naweza kuiona kwenye BIOS na inaonekana kwenye 'my computer' kwa hiyo case resolved. Ahsanteni wote kwa miushauri yenu....
__________________ A positive attitude may not solve all your problems,but it will annoy enough people to make it worthwhile......
Hongera sana ndugu,unaweza kutueleza ni njia ngani ulizotumia,na ni driver ipi uli-install.hii itatusaidia na wengine kama tukikumbana na tatizo kama hilo.
__________________ Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.
Nimepata maelekezo kutoka hapa. Nina imani itasaidia kwa wengine. tatizo ilikuwa ni kuongeza driver kwenye matherboard ambayo inapatana na HD niliyoiongeza.
__________________ A positive attitude may not solve all your problems,but it will annoy enough people to make it worthwhile......