| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 438
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
zain www.zain.com
vodacom www.vodacom.co.tz zantel ::: www.zantel.com ::: Tembelea tovuti zao wana email addresss zao na namba za simu unaweza kuwauliza moja kwa moja |
|
#3
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Jibu ni kwamba modem yeyote inayofit sim card inaweza kufanya kazi popote. It is like unlocked handset, works for every chip. Great deal is to buy unlocked modem
__________________
"Absence of evidence is not evidence of absence" - No win-win situation
|
|||||||||||||||
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Nashukuru Mshiiri kwa kunielewa. Lakini kuna Mahali kidogo napo hujanielewa,nafahamu hiyo compatibily issue lakini ninachouliza ni je,nikiwa nayo km ile inayofanana na ya kwao kwa kila kitu,wataweza kuniruhusu kupata connection? Nauliza hivi kwa sababu nilishawahi kusikia(sikumbuki ilikuwa wapi au lini) kwamba wao huwa wanahitaji kila kitu kitoke kwao,yani km ulikuwa na ya Voda then ukataka kuhamia Zain lazima ununue moderm zao hata km uliyo nayo inafanana umbo na function na za kwao,sina hakika juu ya hili na ndiyo maana nauliza.
__________________
We Cherish Our Friends Not For Their Ability 2 Amuse Us But 4 Our Ability 2 Amuse Them!!!! |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ndio maana nikakwambia njia rahisi ni kupiga simu katika kampuni za simu ulizia
|
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ukinunua modem za voda na ukataka kuhamia zantel wao voda wanaku modem yao wameibana kwa ajiri ya fuction zao ambayo si mbaya kibiashara....ila kuna namna ya ku unlock hiyo modem ambayo si kazi sana...na cheap kuliko kununua modem nyingine kwa 300k. So kila kitu kinawezekana.
__________________
The happiness you get from being able to forgive someone is beyond any apology. |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Zain na Voda modem zao ziko compatible ninavyoewlewa.
Zantel wanatumia technology tofauti. So uangalie unatuma modem ipi because itafanya kazi either Zantel or Voda and Zain. Kwa kugoogle fasta fasta nagani hiyo Hauwei itafanya kazi on Voda and Zain not on Zantel.
__________________
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.” |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
zantel na ttcl wanatumia technlogy ya cdma.
Moderm unayotaka kutuma kwa ajili ya makampuni hayo mawili sharti iwe ni ya cdma.
__________________
If OUR God offends you, then I suggest you consider another part of the world as your new home, because OUR God is part of our culture. |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
tatizo ni kwamba moderm zipo locked, nimeshawahi kujaribu kubadilisha SIM, i mean moderm ni ya huawei lakini nilinunua voda shop ikiwa na SIM card ya voda baada ya kuweka SIM card ya zain ikagoma kuconnect ingawa wote hawa voda na zain wanatumia same technology.
|
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Voda na Zain wana lock modems zao kwa one network.....
sasa kama yako iko free to any network ita work from any network....pia Vodacom wanaweza upgrade kama ina version tofauti.....hilo nina uhakika nalo
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 12:18 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||