Habari zenu wadau!!
Naomba kama kuna mweye kujua kuhusu utaratibu wa hawa jamaa wa Zain,Zantel au Vodacom. Nina USB Moderm,ni Huawei E220.Nataka kumtumia mtu aliye Bongo.Sasa nilikuwa nauliza kwa mdau mwenye kujua,je! hizi kampuni zinaweza kukubali kumpatia connection ya Internet kwa hii moderm au lazima anunue kutoka katika maduka yao??
Natanguliza shukrani!!
__________________
We Cherish Our Friends Not For Their Ability 2 Amuse Us But 4 Our Ability 2 Amuse Them!!!!
Kaka kama umeamua kumtumia nduguyo hiyo cdma modem ujue ataitumia kwa ttcl au zantel tuu. wao tigo, vodacom na zain hawatumii hiyo technologia ya cdma basi kama unataka kumrahisishia huyo jamaa yako atumie mitandao mingine mnunulie GPRS modem ambayo itafanya kazi tigo, vodacom na zain. habari ya asubuhi