Microsoft itaacha kuiuza program yake ya OneCare na kuanza kuitoa BURE!! Sasa itakua inaitwa Morro.
E-Commerce News: Security: Microsoft's Morro Could Mean No Tomorrow for Symantec, McAfee
Microsoft itaacha kuiuza program yake ya OneCare na kuanza kuitoa BURE!! Sasa itakua inaitwa Morro.
E-Commerce News: Security: Microsoft's Morro Could Mean No Tomorrow for Symantec, McAfee
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”
Mimi nina blackberry , natumia digital camera pamoja na vichomeka vingine katika komputer napenda antivirus hiyo iweze kuscan vyote hivyo niwe safe
Unielezee - Uniambiee -
Virus ya PC haiwezi kurun kwenyeCamera,BlackBerry etc. ila inaweza ikajicopy na kuingia kwenye PC nyingine itakayo unganishwa na kifaa. Antivirus huwa inarun kwenye background kwenye PC na kuscan kila fail inayokua copied, so itadetect hiyo virus.
Pia unaweza ukascan device yoyote inayoonekana kwenye My Computer, just right click device select Scan with AVG(Depends on the AntiV you are using).
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”
Morro sounds like Moron.
Pundit is sitting out Christmas
There are currently 1 users browsing this thread. (0 members and 1 guests)
Bookmarks