naomba msaada jinsi ya kubadilisha jina kwani
ningependa kubadili jina nitumialo "kafara". hata hivyo nimeshindwa
pata jinsi ya kufanya hivyo.
kwenye profile wala setting sijaona sehemu inayowezesha kufanya hivyo.
natanguliza shukurani zangu
PM kwa invisible
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Kama sikosei nadhani haiwezekani nakumbuka nilisoma mahali katika zilesheria za JF
Lakini subiri naamini wahusika watakusaidia
Independent thinker Humu jf baadhi yetu wametengeneza haki miliki ya they way they think, you have to think like them and have drawn a line of where one has to belong, you are either "with us" or "against us", if you don't sail the same boat then you are an enemy!.-Pasco wa JF
shukurani mchukia fisadi na paulss kwa ushauri.
nilijaribu kutuma barua pepe kwa "jf support services"
ika-bounce :-(
labda pm kwa mkuu asiyeonekana inaweza saidia.
nikiona vipi itabidi nianze upya na nibishe hodi kama
mgeni :-)
Huwezi kuacha kula samaki eti kwa sababu umpendaye alizama ziwani...
nimepata jibu.
nimepitia thread " how to us jamiiforums effectively" na nimekutana na
maelezo yafuatayo;
"How can I change the information in my profile?
It is your responsibility to keep the information in your profile up-to-date. You should especially ensure that your email address is kept current. You can alter any of the fields in your profile, except your username. Once you have registered your username, it becomes yours for life. In extreme circumstances, you may request that the administrator change your username, but he or she will require a very good reason to do so."
Last edited by Kafara; 19th September 2010 at 14:24.
Reason: typo
Huwezi kuacha kula samaki eti kwa sababu umpendaye alizama ziwani...
Follow Us Here