nisadie namna ya kudwnload video za kwenye youtube
nisadie namna ya kudwnload video za kwenye youtube
Kama unatumia firefox basi kuna "add on" nyingi tu zinafanya kazi hiyo. Tembelea firefox add on site halafu search key word video au you tube zitakuja kibao
Life is too short don't wait
Vile vile waweza pakua programu ya "freecorder" ambayo itazinasa wakati ukizitizama. Zisipoonekana pakua avs video converter uzibadilishe kwa format itakayofaa kwako
Rahisi zaidi.
Signup for free Download YouTube Videos | Create Custom YouTube Video Player | iDesktop.tv hapo unapaste youtube link ya picha au clip unayotaka kupakuwa, kwa wale wanaotumia 3g watafurahia zaidi.
Follow Us Here