JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Magezeti ya Tanzania Mtandaoni:

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. Baba_Enock's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Location : "On-board MH370"
   Posts : 6,667
   Rep Power : 2200
   Likes Received
   1657
   Likes Given
   1914

   Default Magezeti ya Tanzania Mtandaoni:

   Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia uwepo wa magezeti ya Tanzania kwenye "Internet" kwa zaidi ya Miaka 10 na zaidi sasa - Na mimi ni mmojawapo wa wa-Tanzania wa kwanza kuchapisha gazeti moja kwenye "Internet" - tatizo langu kubwa ni kwamba uchapishaji wa haya magazeti mtandaoni umebakia kuwa "business as usual"! hakuna chembe ya ubunifu hata kidogo na wakati mwingi "websites" huwa hazipatikana:

   Re: mwananchi.co.tz

   jtablesession::Store Failed
   DB function failed with error number 1062
   Duplicate entry '1-' for key 2 SQL=INSERT INTO `jos_session` ( `session_id`,`time`,`username` ,`gid`,`guest`,`client_id` ) VALUES ( 'f059c4e38ae0dfd39275b3f1142da 011','1281364997','','0','1',' 0' )
   Tatizo ni nini hasa?

   "
   Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. "


  2. Njowepo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Santiago
   Posts : 8,567
   Rep Power : 22380
   Likes Received
   1250
   Likes Given
   1121

   Default Re: Magezeti ya Tanzania Mtandaoni:

   Leo nimecheki majira na mwananchi nkaambulia patupu
   WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

  3. Ngongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th September 2008
   Location : Mlima Meru
   Posts : 9,580
   Rep Power : 244522923
   Likes Received
   6583
   Likes Given
   7152

   Default Re: Magezeti ya Tanzania Mtandaoni:

   mwananchi kuna virus

  4. Ramthods's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd June 2009
   Posts : 485
   Rep Power : 736
   Likes Received
   112
   Likes Given
   77

   Default Re: Magezeti ya Tanzania Mtandaoni:

   Kama kawaida yetu watanzania, profession hazitiliwi maanani. Magazeti mengi yana cheap websites, zipo chini ya kiwango na hakuna web masters au consultants wa kuhakikisha uendelevu wa hizi tovuti. Kwa kifupi, wengi wanafanya tu, ila hawajui jinsi ya kufanya.

   Ila sishangai sana kwa sababu watanzania mambo yetu mengi ni ya kubahatisha tu, bora liende.
   .... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....

  5. mwanatanu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2008
   Posts : 772
   Rep Power : 864
   Likes Received
   69
   Likes Given
   154

   Default Re: Magezeti ya Tanzania Mtandaoni:

   Quote By Ramthods View Post
   Kama kawaida yetu watanzania, profession hazitiliwi maanani. Magazeti mengi yana cheap websites, zipo chini ya kiwango na hakuna web masters au consultants wa kuhakikisha uendelevu wa hizi tovuti. Kwa kifupi, wengi wanafanya tu, ila hawajui jinsi ya kufanya.

   Ila sishangai sana kwa sababu watanzania mambo yetu mengi ni ya kubahatisha tu, bora liende.
   Tuliwaita "NYANG'AU" sasa wameingia na ndio hao watatuamsha au tutaendelea kulala....siyo magazeti tu hebu pitia tovuti zetu za wizara nazo ni kichefu chefu mtupu
   This country there are too many politicians who believe,with a conviction based on experience,that you can fool all of the people all of the time.~Franklin P. Adams  Similar Topics

  1. biashara ya mtandaoni
   By poposindege in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 6
   Last Post: 27th May 2011, 10:58
  2. Mume au mke wa mtandaoni
   By Dear in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 22
   Last Post: 30th June 2010, 13:39
  3. Google Tanzania angalieni hii Graphical User Interface na contents za mtandaoni
   By Raia Fulani in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 16
   Last Post: 9th June 2010, 23:45
  4. Vyanzo vya Habari vya Magezeti Mengine
   By Kichuguu in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 24th October 2007, 22:19

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...