JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wizara ya Kazi, Ajira na maendeleo ya vijana- Tovuti yenu inatia aibu

  Report Post
  Results 1 to 2 of 2
  1. Sisimizi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th November 2009
   Posts : 444
   Rep Power : 704
   Likes Received
   19
   Likes Given
   14

   Default Wizara ya Kazi, Ajira na maendeleo ya vijana- Tovuti yenu inatia aibu

   Ndg zangu, leo nimepitia tovuti hii: The Tanzania National Website, unapofungua tu unakutana na maneno yanayosema " Today is 27th November 2009". Hii ni aibu. Yaani wataalamu wenu wameshindwa kuseti tovuti yenu iwe inashindwa hata kukumbuka tarehe???? Kama mmeshindwa kuweka taarifa zinazokwenda na wakati, hata tarahe nayo mmeshindwa kuseti vizuri.

   Huu ni uzembe.


  2. Ramthods's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd June 2009
   Posts : 485
   Rep Power : 736
   Likes Received
   112
   Likes Given
   77

   Default Re: Wizara ya Kazi, Ajira na maendeleo ya vijana- Tovuti yenu inatia aibu

   Ndio hivyo tena ndugu yangu, nchi ya kitu kidogo hakuna la maana linalofanyika. Pole kwe kukwazika. Wataalamu wapo, ila hawapewi nafasi kwa sababu wengi wao sio watoto wa wakubwa!
   .... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....


  Similar Topics

  1. Replies: 24
   Last Post: 11th April 2012, 05:41
  2. Kwa serikali, uhamiaji na wizara ya kazi ajira na vijana,
   By Chasha Poultry Farm in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 6
   Last Post: 12th November 2011, 22:17
  3. Bajeti ya Wizara ya Kazi na Ajira
   By PrN-kazi in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 15
   Last Post: 5th August 2011, 21:51
  4. Daruso- website yenu inatia aibu
   By Mtazamaji in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 4
   Last Post: 9th February 2011, 22:04
  5. Wizara ya kazi: Tatizo la ajira nchini lapungua toka 16% mpaka 13%
   By Hofstede in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 13th December 2008, 09:48

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...