JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

  Report Post
  Page 3 of 12 FirstFirst 12345 ... LastLast
  Results 41 to 60 of 223
  1. Sine r Winters's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th July 2012
   Posts : 117
   Rep Power : 500
   Likes Received
   14
   Likes Given
   6

   Default Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   Kuiona cheki hapo social network udom. Hongera sana UDOM. Mungu ibariki UDOM, Mungu ibariki Tanzania.

   Quote By Guus View Post
   Salamu wana Jamvi!

   Jana katika tupiatupia macho kurasa za magazeti nikajikuta katika kurasa moja ya makala ya gazeti la "Mwananchi" ikiwa na kichwa cha habari kama nilivyokiandika katika "Title" yangu. Nilivyoshawishika kuisoma habari hiyo nikagundua kumbe vyuo vyetu vinaweza kuzalisha vijana ambao wana mawazo ya kujiajiri.

   Huyu kijana ameanzisha "mtandao wa kijamii" kama ilivyo kwa "facebook" (Welcome to Mayocoo - Sign in, Sign up). Na kwa jinsi alivyoelezea, anadai inamambo mengi na salama hata zaidi ya hiyo "facebook".

   Mimi nimefarijika (ingawa ni duplication ya idea).
   Ombi langu kwa viwanda hivi (Vyuo), watazame zaidi mihula yao ili si tu hawa "mazalia" waweze kutengeneza vitu ambavyo tayari vipo, ila wawe na uwezo wa kufikiri na kuja na idea mpya. Na pia naamini vyuo vinaweza kuanzisha miradi ya kuwasaidia vijana ambao wanafungua njia za kujitemea. Ni rahisi kwa vyuo kutambua umuhimu wa mawazo ya wahitimu wao kuliko "taasisi" nyingine.

   Mwisho: Kuzalisha wahitimu wenye mawazo ya kujiajiri inawezekana.


  2. Pdraze's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th September 2011
   Posts : 616
   Rep Power : 642
   Likes Received
   289
   Likes Given
   19

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   kajitahidi sana ni wakati wa kukubali vya home hata kama kuna tatizo tum support jamaa fb twitter hazikuibuka tu

  3. UncleUber's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania
   Posts : 4,916
   Rep Power : 101807725
   Likes Received
   3025
   Likes Given
   2530

   Default

   Quote By The Giant View Post
   Namba za simu akupe za nini?
   hawa ndo wadau wenyewe, The Giant humjui CTO? hujasikia movement zake? ni dev. kama ulikuwa hujui, maybe anataka kununua hisa

  4. Pdraze's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th September 2011
   Posts : 616
   Rep Power : 642
   Likes Received
   289
   Likes Given
   19

   Default

   Quote By Kiranga View Post
   Weak indeed, no different from - and probably less secure than- my Geocities webring in 1999. But it's UDOM, what do you expect?
   acha ulimbukeni najua ulitamani uwe wewe lakin bad luck..next time bro

  5. UncleUber's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania
   Posts : 4,916
   Rep Power : 101807725
   Likes Received
   3025
   Likes Given
   2530

   Default

   Quote By Pdraze View Post
   acha ulimbukeni najua ulitamani uwe wewe lakin bad luck..next time bro
   hujui unachokiongea bwana Pdraze, webdesign na development zaidi ya kutamba tu eti mwanafunzi wa udom kadevelop social mtwrk. ni zaidi ya hapo. zamani alikuja jamaa mmoja alikujA na clone ya fb akatamba, wakamshushua akatukana akapotea jumla. sasa hebu niambie professional social network haina error page 404? full of broken links, ina application ina run (malicious) then unasema anaona wivu? critics zinasaidia japo zinakera

  6. MAISAKI's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 10th April 2012
   Posts : 8
   Rep Power : 491
   Likes Received
   1
   Likes Given
   12

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   ndo kwanza ameanza.the next step itakua hiyo...hapo ungeiweka kama ushauri kwake....sio kama unamponda!! Learn 3 appreciate thngs ur countrymen do.


  7. elmagnifico's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th July 2011
   Location : Brussels
   Posts : 3,096
   Rep Power : 2907
   Likes Received
   1153
   Likes Given
   223

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   let the boy try afadhali yeye katengeneza kitu ma IT wangapi wanamaliza vyuoni hawatengenezi kitu wanaishia kupiga windows chini na ku install na ku unstall softwares tu.
   Slowly by slowly ataweza na si ajabu ni kichwa kimoja kinachofanya yote so lazima matatizo yawepo

  8. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 12,554
   Rep Power : 118916276
   Likes Received
   3531
   Likes Given
   1916

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   Nasapoti bidhaa ya nyumbani naenda kujiunga sasa hvi

  9. Chief-Mkwawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2011
   Posts : 10,066
   Rep Power : 1367387
   Likes Received
   4031
   Likes Given
   0

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   mi nilivoelewa mpaka hapa
   1. Aloleta hii website si mwenyewe mmiliki wa social network
   2. Hatujaambiwa kwamba official imezinduliwa au ipo kwenye beta anataka ushauri.

   Kama ni official imezinduliwa basi arudi tena chini akaisuke upya na kama kaleta beta basi ushauri ndo huo auchukue.

  10. CHAMVIGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2012
   Location : TANZANIA
   Posts : 7,703
   Rep Power : 3422
   Likes Received
   2186
   Likes Given
   1385

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   Jamaa ndie inasemekana ametengeneza ile Udom student records network ambayo imeisadia udom kuondokana na kutegemea Aris ya Udsm.
   Hongera yake .
   Last edited by CHAMVIGA; 16th April 2013 at 11:21.

  11. Stefano Mtangoo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th October 2012
   Location : Dar es Salaam, Tanzania
   Posts : 2,422
   Rep Power : 485870
   Likes Received
   1158
   Likes Given
   1590

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   Quote By C6 View Post
   hawa ndo wadau wenyewe, The Giant humjui CTO? hujasikia movement zake? ni dev. kama ulikuwa hujui, maybe anataka kununua hisa
   My Friend C6 huyu Jamaa anaitwa C.T.U Majina yanafanana tu.

   BTW Hii mambo ya kutumia Script za watu halafu hauwapi due credits inaua sana morale ya FOSS Developers. Kwa manafunzi kuandika full script ni issue unless alianza kuiandika mapema which means ni personal efforts that have nothing to do with UDOM.

   But as you said, mtu akija na mambo mazuri tutanunua share tu kumpa support ila awe honest na ziwe ni effort zake za development na sio customization!

  12. C.T.U's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st June 2011
   Posts : 3,833
   Rep Power : 6091104
   Likes Received
   1488
   Likes Given
   39

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   Quote By The Giant View Post
   Namba za simu akupe za nini?
   Ndio maana sisi kuendelea Tanzania ni mwaka 2900
   Usiseme sisi watanzania ni masikini masikini ni wewe na familia yako

  13. Makanyaga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th September 2007
   Posts : 2,324
   Rep Power : 0
   Likes Received
   604
   Likes Given
   2030

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   Quote By Sine r Winters View Post
   kuiona cheki hapo social network udom. hongera sana udom. Mungu ibariki udom mungu ibariki Tanzania.
   Hongera zake, japo sijaona chochote kinachotamulisha kuwa software hii inamilikiwa na mwanafunzi wa UDOM, Tanzania
   "Obedience to truth on MATTERS REVEALED guarantees guidance to MATTERS UNREVEALED"

  14. sun wu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Posts : 2,030
   Rep Power : 7890
   Likes Received
   1251
   Likes Given
   262

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   Quote By shiny c View Post
   eh hater yoyote anaoponda huyu jamaa mjinga sana oh mara cjui haina mvuto oh mara cjui nin tokaaaa
   Nadhani kuna watu wamepotea njia au hawajui umuhimu wa hii forum..., hivi kwa aliyeingia akatoa wazo la matatizo/shortcoming ya hii site yeye kama end user (ingawa wewe unaita ni hater) au anayeingia na kusema heko !! Poa !!, Kijana Umetishaaa !!! ni comment ipi inajenga au ya maana zaidi ?, ipi inahitajika zaidi ?...

   Hata Microsoft wanavyotoa software zao (Beta Version) wanatoa ili watu watumie kwanza na kuelezea ubovu/matatizo (bugs) ambayo wanayafanyia kazi.., Hivi comments ambazo wangekuwa wanapata zote zingekuwa ni Heko au Microsoft mmetishaaa..., unadhani hizo software zingekuwa bora kama zilivyo sasa ?

   Hao so called Haters ndio wanaohitajika kwenye hii issue (sababu ndio baadhi ya watumiaji) na ukichukua mawazo yao na kuboresha na hata wao wakaridhika basi kitakachopatikana kitakuwa bora.., kuliko wote wakija na kusema chukua tano au Kudos... mwisho wa siku product atakayomaliza nayo ni aliyoanza nayo...
   Opportunities Multiply as they are Seized Sun Tzu

  15. stormryder's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2013
   Posts : 407
   Rep Power : 521
   Likes Received
   47
   Likes Given
   6

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   naitwa hacker W.O.Z,kjn niko nawe ila check your session unastahili award coz un metengeneza twitter ver. ya tz

  16. Aqua's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd July 2012
   Location : Nyamboge
   Posts : 881
   Rep Power : 651
   Likes Received
   379
   Likes Given
   105

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   "You have to learn how to use your enemies to your advantages".Kukosolewa ni muhimu kama unataka product yako iwe poa,wengi hapa huwa wanatoa comment hata hawaangalii kwa mfano "code" imekaaje.
   Good start mi si mtaalamu sana wa mambo fulani ila hiyo site ina security weakness,naona SQL injection umeiconsider the simple one,baadhi ya mapungufu ni
   1.emails address ziko disclosed
   2.Password zinatumwa kwa kutumia http na si https
   3.baadhi ya mamember ni kama rock..,dull..,KASO..,AK..,Izzo ..,shei..,kiburicha... etc
   4.Ame enable auto complete si nzuri sana security wise.
   5.error za database ziko disclosed
   Kwa hiyo watu wakisema rekebisha kitu fulani tuache ubishi,"think outside of the box".Pdraze ni member pia may be ndiyo maana anatetea sana.
   "We do not become stronger by being surrounded by weak people".

  17. stormryder's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2013
   Posts : 407
   Rep Power : 521
   Likes Received
   47
   Likes Given
   6

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   seccurity issues

  18. ZeMarcopolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th May 2008
   Posts : 13,330
   Rep Power : 141699899
   Likes Received
   5771
   Likes Given
   5446

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   Wadau jiungeni kwa wingi kwenye site kwa jitihada za kumuunga mkono mwanafunzi huyu.
   "To greed, all nature is insufficient"

  19. Kwetu Iringa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2011
   Posts : 360
   Rep Power : 602
   Likes Received
   71
   Likes Given
   629

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   Nimejiunga tayari, ila nimeshindwa ku-sign in because it is extremely sloooooow!! All the same kudos to the developer!!


   Cha ajabu kwa UDOM ni kwamba kuna college na ma-profesa wa IT, lkn mtandao wa hicho chuo ni worst kuliko vyote hapa TZ, including MUHAS ambako hakuna college wala school ya IT!! Hii imekaaje?

  20. ZeMarcopolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th May 2008
   Posts : 13,330
   Rep Power : 141699899
   Likes Received
   5771
   Likes Given
   5446

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   Mwanafunzi wa UDOM umefanya vizuri.

   Sikiliza critics zinazotolewa na uangalie jinsi utakavyozifit kwenye initial plan yako.

   Marketing ni muhimu. Mpaka sasa umetambulishwa kuwa ni mwanafunzi wa UDOM. Hiyo haitoshi, taja jina lako au la kampuni na contacts ili watu wanaotaka kuventure na wewe waweze kukupata.

   Fanya developments na kuitangaza site yako haraka sana kabla idea haijapigwa overtake na wengine watakaoona toka kwako.
   "To greed, all nature is insufficient"

  21. Mchaka Mchaka's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 20th July 2010
   Location : A - CITY
   Posts : 4,540
   Rep Power : 1583
   Likes Received
   1326
   Likes Given
   687

   Default re: Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

   Quote By ZeMarcopolo View Post
   Mwanafunzi wa UDOM umefanya vizuri.

   Sikiliza critics zinazotolewa na uangalie jinsi utakavyozifit kwenye initial plan yako.

   Marketing ni muhimu. Mpaka sasa umetambulishwa kuwa ni mwanafunzi wa UDOM. Hiyo haitoshi, taja jina lako au la kampuni na contacts ili watu wanaotaka kuventure na wewe waweze kukupata.

   Fanya developments na kuitangaza site yako haraka sana kabla idea haijapigwa overtake na wengine watakaoona toka kwako.
   Mkuu umemshauri vizuri lakini hili la idea sio geni hapa duniani..!
   Miili ya waliokufa katika ajali ya Meli ya Spice Islander ipimwe DNA ili kutambua Ndugu zao - Dk. Jakaya .M. Kikwete,, September 2011.


  Page 3 of 12 FirstFirst 12345 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Bajeti kiduchu kwa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
   By tatanyengo in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 3
   Last Post: 17th June 2012, 14:56
  2. Uongozi katika chuo kikuu cha dodoma (udom) wapata aibu kubwa
   By JUNGU MTU in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 12
   Last Post: 17th February 2012, 09:44
  3. MGOMO wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wa kutokuingia madarasani kushinik
   By kilimasera in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 0
   Last Post: 23rd December 2010, 00:41
  4. Nani aliwakilisha UDSM kwenye uzinduzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ??
   By samirnasri in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 1
   Last Post: 28th November 2010, 14:07
  5. UDSM Waliwakilisha na nani kwenye uzinduzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ??
   By samirnasri in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 4
   Last Post: 26th November 2010, 10:48

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...