Msaada fundi wa ma free to air dish(local channels)
Nimenunu startime yaani nimizinguo mitupu nimechaguaa package ile ya juu kabisa yaani ni wizi wa mchana yaani naona afadhali nifunge dish la local channels niache kulipia huu uozo nimesoma post nyingi za wadau watu wanashauri uwe na dish la futi nane na receiver ya strong mpeg 4 nipo dar kama nataka local channels nyingi nipo tayari kufunga hata lnb 4 kama kuna mtu anamjua fundi ambaye sio longo longo au ushauri tu mnisaidie
We were so poor my daddy unplugged the clocks when we went to bed
Re: Msaada fundi wa ma free to air dish(local channels)
Kwa mtazamo wangu, kwa sasa usiangaike na Ving'amuzi, chukua muda uangalie upepo unaelekea wapi, utapata king'amuzi utakachokipenda. Kwa wakati huu nunua Dish la futi 8, lnb C-Band moja 777,888 au 999 gulf star na KU-Band 2 za gulf Star pamoja na receiver ya MPG2 ukipata ya MPG4 itakuwa bomba sana kwani zinauwezo wa kufungua scrambled channel. Ukimpata fundi mzuri unauwezo wa kupata channel zaidi ya 70 Free wakati wote zikiwemo za Tanzania.
Mkuu kama unajua hapa dar watu gani mafundi wazuri wa haya madish ya local channels
Mustapha Madish,anaishi Magomeni Mapipa. Kama unataka kufahamu zaidi juu ya mambo yake yalivyo makubwa ingia hapawww.mustaphamadish.blogspot.com au mcheki ktk 0716899155
tafadhali jamani tunaomba na gharama za hayo madish ili tujipange kuyanunua maana ving'amuzi hamna kitu huko
Dish pamoja na Receiver na Lnb nne na cable waya,ni zaidi ya Laki mbili,inategemea receiver utakayonunua. Receiver za Mpeg2 ni rahs kuliko Mpeg4,lakini bei zaidi ni mpeg4 HD.
Re: Msaada fundi wa ma free to air dish(local channels)
By Mgjd
Mustapha Madish,anaishi Magomeni Mapipa. Kama unataka kufahamu zaidi juu ya mambo yake yalivyo makubwa ingia hapawww.mustaphamadish.blogspot.com au mcheki ktk 0716899155
Nimenunu startime yaani nimizinguo mitupu nimechaguaa package ile ya juu kabisa yaani ni wizi wa mchana yaani naona afadhali nifunge dish la local channels niache kulipia huu uozo nimesoma post nyingi za wadau watu wanashauri uwe na dish la futi nane na receiver ya strong mpeg 4 nipo dar kama nataka local channels nyingi nipo tayari kufunga hata lnb 4 kama kuna mtu anamjua fundi ambaye sio longo longo au ushauri tu mnisaidie
Re: Msaada fundi wa ma free to air dish(local channels)
wakuu niliwekaga dish la fta mda,nlikua naona channel za locals,nkawa natumia dstv,sasa dish la bure nkaliacha,leo nimejaribu ku connect receiver imegoma,jins gan naweza ku re install mwenyewe?channels zipo ila huoni kitu

Kwa muda gani? Kwa sababu kuna baadhi ya chaneli zilibadilisha masafa
Kwa mtazamo wangu, kwa sasa usiangaike na Ving'amuzi, chukua muda uangalie upepo unaelekea wapi, utapata king'amuzi utakachokipenda. Kwa wakati huu nunua Dish la futi 8, lnb C-Band moja 777,888 au 999 gulf star na KU-Band 2 za gulf Star pamoja na receiver ya MPG2 ukipata ya MPG4 itakuwa bomba sana kwani zinauwezo wa kufungua scrambled channel. Ukimpata fundi mzuri unauwezo wa kupata channel zaidi ya 70 Free wakati wote zikiwemo za Tanzania.
Mkuu futi6 inatosha unawekewa c band 3 na ku 3 jumla6
Follow Us Here