JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: vifurushi vya zantel

  Report Post
  Results 1 to 4 of 4
  1. Njunwa Wamavoko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2012
   Location : /oscam/oscam.server
   Posts : 5,069
   Rep Power : 42944
   Likes Received
   1228
   Likes Given
   759

   Default vifurushi vya zantel

   wakuu naombeni msaada kuhusu hili swaala,,,,hivi hakuna ujanja wakufanya laini yoyote ya zantel kuweza kununua vifurushi vyao,,,,maana nilipiga customer caree wakanambia lazima uwe na special namba ambayo iko ktk format 07175 na kama haiwezekani basi hizo special no naweza nizipate wap hapa dar ,,,nipo karriaakooo

   karibuni,,,,tusichokane

  2. the locksman's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th May 2012
   Posts : 382
   Rep Power : 563
   Likes Received
   45
   Likes Given
   53

   Default Re: vifurushi vya zantel

   Namba yoyote ya zantel unaweza kutumia,
   ila ukitaka vile vifurushi vya HIGH LIFE ndo inataka namba moja yu ya zantel.

  3. #3
   cyruss's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 13th January 2012
   Posts : 198
   Rep Power : 542
   Likes Received
   30
   Likes Given
   23

   Default Re: vifurushi vya zantel

   Quote By njunwa wamavoko View Post
   wakuu naombeni msaada kuhusu hili swaala,,,,hivi hakuna ujanja wakufanya laini yoyote ya zantel kuweza kununua vifurushi vyao,,,,maana nilipiga customer caree wakanambia lazima uwe na special namba ambayo iko ktk format 07175 na kama haiwezekani basi hizo special no naweza nizipate wap hapa dar ,,,nipo karriaakooo

   karibuni,,,,tusichokane
   wafnykaz wengi wa zantl customer care wako ovyo hawajui offer zao, pia hiyo kampuni mizenguo sana mfano ukiwa unataka kujiunga kifurushi cha buku wanakwambia uweke 1600 kwenye modem yako, kile kifurshi kikiisha hakuna notification yoyote obvious inakula mpaka ile 600 bila ya wewe kujitambua kuwa kile kifurshi cha 1000 kimeisha.. kwa maana nyingine kifurushi cha 1000(kimatangazo)=1600(kialisi a)

  4. MASEBUNA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th October 2011
   Posts : 245
   Rep Power : 565
   Likes Received
   52
   Likes Given
   7

   Default

   Quote By cyruss View Post
   wafnykaz wengi wa zantl customer care wako ovyo hawajui offer zao, pia hiyo kampuni mizenguo sana mfano ukiwa unataka kujiunga kifurushi cha buku wanakwambia uweke 1600 kwenye modem yako, kile kifurshi kikiisha hakuna notification yoyote obvious inakula mpaka ile 600 bila ya wewe kujitambua kuwa kile kifurshi cha 1000 kimeisha.. kwa maana nyingine kifurushi cha 1000(kimatangazo)=1600(kialisi a)
   Wapuzi sana mimi ilikula buku kumi nilimind sana nikatupa hata sijui iko wapi, airtel ukiweka kifushi cha mia tano day kwa muda mambo safi.

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...