JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: How to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

  Report Post
  Page 1 of 4 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 73
  1. jumannezakayo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th July 2012
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 98
   Rep Power : 494
   Likes Received
   8
   Likes Given
   11

   Exclamation How to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   Msaada wenu jaman wadau unahitajika kuunlock modem ya tigo ya huawei e 153 permanently. ninaweza kuichakachua temporary tu ila sijapata software ya kuiunlock moja kwa moja. kwa mwenye software inayofanya kaz hapo juu anisaidie plz.

  2. e2themiza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2011
   Location : Unknown Destination
   Posts : 960
   Rep Power : 5860
   Likes Received
   505
   Likes Given
   404

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   Njia ipo, but lazima uwe very careful cause unaweza ua modem, Yani ukapoteza IMEI na modem kutoweza kushika network.. but kama uko makini and careful it will take you 15 minutes hivi na modem itakuwa PERMANENTLY unlocked.. ni pm ukiwa tayari
   scratch here ▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒ to reveal my signature

  3. Njunwa Wamavoko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2012
   Location : /oscam/oscam.server
   Posts : 5,070
   Rep Power : 42945
   Likes Received
   1229
   Likes Given
   759

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   post hapa kwa manufaa ya wote mkuu e2themiza

  4. e2themiza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2011
   Location : Unknown Destination
   Posts : 960
   Rep Power : 5860
   Likes Received
   505
   Likes Given
   404

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   Jinsi ya Ku unlock Huawei E153 Customized Firmware Permanently!

   ANGALIZO!

   DO THIS AT YOUR OWN RISK SITAHUSIKA KAMA MODEM YAKO KUHARIBIKA IN ANY WAY JUST BE VERY CAREFUL!   Kwanza download attachment nilioupload ina tools zote utakazo tumia ku unlock hii modem..

   Ukishadownload extract na anza ku install QPST.2.7.378. Don't launch it yet install tu..

   Then chomeka modem yako, weka line ambayo sio ya Tigo/Iliolokiwa na hii modem, itatokea dashboard na error kuwa huwezi tumia hii simcard click ok na exit iyo dashboard hakikisha Huminimize au kuiacha ina run kwenye background but iwe imefungwa kabisa..

   Sasa nenda device manager.. na locate modem yako kisha soma COM port yake..
   Sasa search ile software ulio install QPST na lauch QPST configuration   Then click add new port, ile ulio ichk katika device manager
   Kisha uncheck "Show serial and USB/QC Diagnostic Ports only.. ili zionekane port zote na uione yako kisha Ichague na click ok.
   Na kama umechagua port yenyewe then lazima utona imeandikwa hivi   Kisha angalia juu kwenye Tabs na chagua Start Clients then chagua Software Download   Sasa hapa ni muhimu sana tena sana.. Click Back up tab kisha click browse kulia kwako na uchague location ambapo itasave backup yako, then click start na iache imalize ku backup   Ok sasa mpaka hapo tutakuwa tume ua part 1 ya hili zoezi..

   Katika hii file nilio attach fugua folder ulio extract then utaona another tool imeandikwa Huawei Modem Flasher, Ifungue na angalia kushoto kwako na chagua COM port ya Modem yako, usijali utaona COm port ni tofauti but utaona imeandikwa 3G PC UI interface.. ndo iyo iyo..   Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE.. Itafunguka a window u locate iyo firmware iko wapi sasa chagua file lilo bakia katika folder ulio extract file nilio attach "E153Update_11.609.18.00.00.B4 27" Then itaonyesha kama ifuatavyo..   Then tunakuja kitu kingine MUHIMU sana wengi kabla kama manakumbuka mlishawahi kujaribu kuchange firmware, but ilikuwa inaleta error na kusema UPDATING FAILED, sasa hapa ndo maana tutatumia hii tool kuchange firmware tofauti na ya kawaida na kuua iko kisehemu kinacho sababisha iyo error. kama unaona katika picha hapo juu "06.bin" iko unchecked.. sasa fanya ivyo pia na ui uncheck iyo kitu.. NI MUHIMU SANA..

   Sasa rudi katika tabs juu na sasa chagua tab "Flash Modem" then chagua "Normal Mode" kuna kibox itatokea just click OK. na acha imalize ku badilisha firmware.. KINGINE muhimu karibia na mwishone italeta error katika "08.bin" iyo ni kawaida na lazima itatokea ivyoo just iache mpaka imalize then close it..
   So far unakariba kumaliza na utaweza ona dashboard inafunguka wakati ina endelea au kumaliza kuchange firmware we Ifunge tuu..

   Sasa tunaenda part ya mwisho na ndo muhimu.. mpaka now kama tulikuwa hatuta update au tuache modem kama ilivyo.. HAIWEZI kunasa any NETWORK na modem yako haina IMEI..

   So ni kama tunarudia step za mwanzo kwa kufungua QPST configuration, kufungua COM port ya modem, Then tunaenda software download same step kama za mwanzo but instead of going to BACK UP TAB sasa tuna enda tab ya ku RESTORE.. then click browse na peleka na uchague file ulio tegeneza kama back up mwanzoni   Then Click START, na uache imalize.. baada ya hapo unaweza funga QPST, then chomoa na chomeka modem yako.. Na kwanzia sasa utaweza tumia line yoyote, your Modem will be PERMANENTLY unlocked, na kila kitu kiko sawa including IMEI yako imerudi hehe

   OK what did we do exactly?

   Ni kwamba iyo modem ilikuwa ina FIRMWARE ambayo iko customized na sio rahisi hivi hivi ku unlock PERMANENTLY mpaka utumie vyombo ziada..

   tulicho fanya ni kui downgrade to a previous firmware ambayo haiko locked wala customized

   Utaliza sasa mbona tumezunguka kote kuweza kuidowngrade hio firmware, lol walijua kuwa ugeweza fanya ivyo so wakabana hio kitu usiweze fanya kiurahisi ndo mana ukilaunch updater hivi hivi, mwishowe unakumbana na ERROR

   Hii njia nimeitumia na kufanikiwa ku unlock na modem haijasumbua in anyway, kama utakuwa makini na wewe utaweza pia..

   Maswali na feedback na tegemea kwa wingi, and GUDLUCK

   AM OUT!
   Attached Files
   scratch here ▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒ to reveal my signature

  5. Shaffin Simbamwene's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th November 2008
   Posts : 962
   Rep Power : 1077
   Likes Received
   243
   Likes Given
   82

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   Quote By e2themiza View Post
   Jinsi ya Ku unlock Huawei E153 Customized Firmware Permanently!

   ANGALIZO!

   DO THIS AT YOUR OWN RISK SITAHUSIKA KAMA MODEM YAKO KUHARIBIKA IN ANY WAY JUST BE VERY CAREFUL!

   Kwanza download attachment nilioupload ina tools zote utakazo tumia ku unlock hii modem..

   Ukishadownload extract na anza ku install QPST.2.7.378. Don't launch it yet install tu..

   Then chomeka modem yako, weka line ambayo sio ya Tigo/Iliolokiwa na hii modem, itatokea dashboard na error kuwa huwezi tumia hii simcard click ok na exit iyo dashboard hakikisha Huminimize au kuiacha ina run kwenye background but iwe imefungwa kabisa..

   Sasa nenda device manager.. na locate modem yako kisha soma COM port yake..

   Sasa search ile software ulio install QPST na lauch QPST configuration

   Then click add new port, ile ulio ichk katika device manager

   Kisha uncheck "Show serial and USB/QC Diagnostic Ports only.. ili zionekane port zote na uione yako kisha Ichague na click ok.

   Na kama umechagua port yenyewe then lazima utona imeandikwa hivi

   Kisha angalia juu kwenye Tabs na chagua Start Clients then chagua Software Download

   Sasa hapa ni muhimu sana tena sana.. Click Back up tab kisha click browse kulia kwako na uchague location ambapo itasave backup yako, then click start na iache imalize ku backup

   Ok sasa mpaka hapo tutakuwa tume ua part 1 ya hili zoezi..

   Katika hii file nilio attach fugua folder ulio extract then utaona another tool imeandikwa Huawei Modem Flasher, Ifungue na angalia kushoto kwako na chagua COM port ya Modem yako, usijali utaona COm port ni tofauti but utaona imeandikwa 3G PC UI interface.. ndo iyo iyo..

   Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE.. Itafunguka a window u locate iyo firmware iko wapi sasa chagua file lilo bakia katika folder ulio extract file nilio attach "E153Update_11.609.18.00.00.B4 27" Then itaonyesha kama ifuatavyo..

   Then tunakuja kitu kingine MUHIMU sana wengi kabla kama manakumbuka mlishawahi kujaribu kuchange firmware, but ilikuwa inaleta error na kusema UPDATING FAILED, sasa hapa ndo maana tutatumia hii tool kuchange firmware tofauti na ya kawaida na kuua iko kisehemu kinacho sababisha iyo error. kama unaona katika picha hapo juu "06.bin" iko unchecked.. sasa fanya ivyo pia na ui uncheck iyo kitu.. NI MUHIMU SANA..

   Sasa rudi katika tabs juu na sasa chagua tab "Flash Modem" then chagua "Normal Mode" kuna kibox itatokea just click OK. na acha imalize ku badilisha firmware.. KINGINE muhimu karibia na mwishone italeta error katika "08.bin" iyo ni kawaida na lazima itatokea ivyoo just iache mpaka imalize then close it..

   So far unakariba kumaliza na utaweza ona dashboard inafunguka wakati ina endelea au kumaliza kuchange firmware we Ifunge tuu..

   Sasa tunaenda part ya mwisho na ndo muhimu.. mpaka now kama tulikuwa hatuta update au tuache modem kama ilivyo.. HAIWEZI kunasa any NETWORK na modem yako haina IMEI..

   So ni kama tunarudia step za mwanzo kwa kufungua QPST configuration, kufungua COM port ya modem, Then tunaenda software download same step kama za mwanzo but instead of going to BACK UP TAB sasa tuna enda tab ya ku RESTORE.. then click browse na peleka na uchague file ulio tegeneza kama back up mwanzoni

   Then Click START, na uache imalize.. baada ya hapo unaweza funga QPST, then chomoa na chomeka modem yako.. Na kwanzia sasa utaweza tumia line yoyote, your Modem will be PERMANENTLY unlocked, na kila kitu kiko sawa including IMEI yako imerudi hehe

   OK what did we do exactly?

   Ni kwamba iyo modem ilikuwa ina FIRMWARE ambayo iko customized na sio rahisi hivi hivi ku unlock PERMANENTLY mpaka utumie vyombo ziada..
   tulicho fanya ni kui downgrade to a previous firmware ambayo haiko locked wala customized

   Utaliza sasa mbona tumezunguka kote kuweza kuidowngrade hio firmware, lol walijua kuwa ugeweza fanya ivyo so wakabana hio kitu usiweze fanya kiurahisi ndo mana ukilaunch updater hivi hivi, mwishowe unakumbana na ERROR

   Hii njia nimeitumia na kufanikiwa ku unlock na modem haijasumbua in anyway, kama utakuwa makini na wewe utaweza pia..

   Maswali na feedback na tegemea kwa wingi, and GUDLUCK

   AM OUT!
   Ni full utamu hapa mpaka natamani nijaribu hii kitu but E-153 niliisukuma kitambo da!!!!
   VUNJA MIFUPA KAMA MENO IPO

  6. Njunwa Wamavoko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2012
   Location : /oscam/oscam.server
   Posts : 5,070
   Rep Power : 42945
   Likes Received
   1229
   Likes Given
   759

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   mkuu tunashukuru xana lakini step ipi ni 2 risky?ili tuwemakini

  7. Don David's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2012
   Location : Arusha
   Posts : 264
   Rep Power : 555
   Likes Received
   40
   Likes Given
   178

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   Thanx sana mkuu kwa maujanja maana hiyo error inayotokea wakat wa kuupdate firmware ishatuumiza vichwa sana wengine,,ila i have appreciated your work bro..Kaza nzuri and big UP sanaa
   Quote By e2themiza View Post
   Jinsi ya Ku unlock Huawei E153 Customized Firmware Permanently!

   ANGALIZO!

   DO THIS AT YOUR OWN RISK SITAHUSIKA KAMA MODEM YAKO KUHARIBIKA IN ANY WAY JUST BE VERY CAREFUL!   Kwanza download attachment nilioupload ina tools zote utakazo tumia ku unlock hii modem..

   Ukishadownload extract na anza ku install QPST.2.7.378. Don't launch it yet install tu..

   Then chomeka modem yako, weka line ambayo sio ya Tigo/Iliolokiwa na hii modem, itatokea dashboard na error kuwa huwezi tumia hii simcard click ok na exit iyo dashboard hakikisha Huminimize au kuiacha ina run kwenye background but iwe imefungwa kabisa..

   Sasa nenda device manager.. na locate modem yako kisha soma COM port yake..
   Sasa search ile software ulio install QPST na lauch QPST configuration   Then click add new port, ile ulio ichk katika device manager
   Kisha uncheck "Show serial and USB/QC Diagnostic Ports only.. ili zionekane port zote na uione yako kisha Ichague na click ok.
   Na kama umechagua port yenyewe then lazima utona imeandikwa hivi   Kisha angalia juu kwenye Tabs na chagua Start Clients then chagua Software Download   Sasa hapa ni muhimu sana tena sana.. Click Back up tab kisha click browse kulia kwako na uchague location ambapo itasave backup yako, then click start na iache imalize ku backup   Ok sasa mpaka hapo tutakuwa tume ua part 1 ya hili zoezi..

   Katika hii file nilio attach fugua folder ulio extract then utaona another tool imeandikwa Huawei Modem Flasher, Ifungue na angalia kushoto kwako na chagua COM port ya Modem yako, usijali utaona COm port ni tofauti but utaona imeandikwa 3G PC UI interface.. ndo iyo iyo..   Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE.. Itafunguka a window u locate iyo firmware iko wapi sasa chagua file lilo bakia katika folder ulio extract file nilio attach "E153Update_11.609.18.00.00.B4 27" Then itaonyesha kama ifuatavyo..   Then tunakuja kitu kingine MUHIMU sana wengi kabla kama manakumbuka mlishawahi kujaribu kuchange firmware, but ilikuwa inaleta error na kusema UPDATING FAILED, sasa hapa ndo maana tutatumia hii tool kuchange firmware tofauti na ya kawaida na kuua iko kisehemu kinacho sababisha iyo error. kama unaona katika picha hapo juu "06.bin" iko unchecked.. sasa fanya ivyo pia na ui uncheck iyo kitu.. NI MUHIMU SANA..

   Sasa rudi katika tabs juu na sasa chagua tab "Flash Modem" then chagua "Normal Mode" kuna kibox itatokea just click OK. na acha imalize ku badilisha firmware.. KINGINE muhimu karibia na mwishone italeta error katika "08.bin" iyo ni kawaida na lazima itatokea ivyoo just iache mpaka imalize then close it..
   So far unakariba kumaliza na utaweza ona dashboard inafunguka wakati ina endelea au kumaliza kuchange firmware we Ifunge tuu..

   Sasa tunaenda part ya mwisho na ndo muhimu.. mpaka now kama tulikuwa hatuta update au tuache modem kama ilivyo.. HAIWEZI kunasa any NETWORK na modem yako haina IMEI..

   So ni kama tunarudia step za mwanzo kwa kufungua QPST configuration, kufungua COM port ya modem, Then tunaenda software download same step kama za mwanzo but instead of going to BACK UP TAB sasa tuna enda tab ya ku RESTORE.. then click browse na peleka na uchague file ulio tegeneza kama back up mwanzoni   Then Click START, na uache imalize.. baada ya hapo unaweza funga QPST, then chomoa na chomeka modem yako.. Na kwanzia sasa utaweza tumia line yoyote, your Modem will be PERMANENTLY unlocked, na kila kitu kiko sawa including IMEI yako imerudi hehe

   OK what did we do exactly?

   Ni kwamba iyo modem ilikuwa ina FIRMWARE ambayo iko customized na sio rahisi hivi hivi ku unlock PERMANENTLY mpaka utumie vyombo ziada..

   tulicho fanya ni kui downgrade to a previous firmware ambayo haiko locked wala customized

   Utaliza sasa mbona tumezunguka kote kuweza kuidowngrade hio firmware, lol walijua kuwa ugeweza fanya ivyo so wakabana hio kitu usiweze fanya kiurahisi ndo mana ukilaunch updater hivi hivi, mwishowe unakumbana na ERROR

   Hii njia nimeitumia na kufanikiwa ku unlock na modem haijasumbua in anyway, kama utakuwa makini na wewe utaweza pia..

   Maswali na feedback na tegemea kwa wingi, and GUDLUCK

   AM OUT!

  8. e2themiza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2011
   Location : Unknown Destination
   Posts : 960
   Rep Power : 5860
   Likes Received
   505
   Likes Given
   404

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   Quote By njunwa wamavoko View Post
   mkuu tunashukuru xana lakini step ipi ni 2 risky?ili tuwemakini
   ya kusahau ku backup au kudelete iyo backup au kusahau ku restore n.k
   scratch here ▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒ to reveal my signature

  9. e2themiza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2011
   Location : Unknown Destination
   Posts : 960
   Rep Power : 5860
   Likes Received
   505
   Likes Given
   404

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   Quote By Don David View Post
   Thanx sana mkuu kwa maujanja maana hiyo error inayotokea wakat wa kuupdate firmware ishatuumiza vichwa sana wengine,,ila i have appreciated your work bro..Kaza nzuri and big UP sanaa
   Pamoja mkuu
   scratch here ▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒ to reveal my signature

  10. Don David's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2012
   Location : Arusha
   Posts : 264
   Rep Power : 555
   Likes Received
   40
   Likes Given
   178

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   mkuu naomba niwe wa kwanza kutoa feedback..hii mambo is 100% working and it is perfect ,,asante sana e2themiza pia naomba niongeze kitu kidogo kwenye maelezo yako,
   -hii njia siyo risky sana kama utaweza kuyakeep mafile yako ya backup sehem safe na uyarestore baada ya kumaliza
   -pia wakati unaiflash modem ikikuletea error yoyote isikuumize kichwa kwa maana unaweza kurudia kuiflash as many times as you want as long as unatumia firmware sahihi
   -baada ya kuiflash unaweza ukaichomoa na kuirudisha ukiona kama option ya kurestore inakataa kufanya kazi(inaweza kuleta error ukitaka kuirestore)
   datss all folks..
   pamoja sanaa..
   Quote By e2themiza View Post
   Pamoja mkuu

  11. Njunwa Wamavoko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2012
   Location : /oscam/oscam.server
   Posts : 5,070
   Rep Power : 42945
   Likes Received
   1229
   Likes Given
   759

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   yani cijui mi nina mkosi ,,,yani process ya kwanza ya ku-install qpst imegoma inasema failure to register HRESULT,,,,Kuna nn kwenye computer yangu

  12. deojames's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2011
   Location : Dar es salaam
   Posts : 271
   Rep Power : 748
   Likes Received
   54
   Likes Given
   70

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   thanks sana mkuu your trick worked 100%

  13. deojames's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2011
   Location : Dar es salaam
   Posts : 271
   Rep Power : 748
   Likes Received
   54
   Likes Given
   70

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   Quote By njunwa wamavoko View Post
   yani cijui mi nina mkosi ,,,yani process ya kwanza ya ku-install qpst imegoma inasema failure to register HRESULT,,,,Kuna nn kwenye computer yangu
   Tumia hio hapo nyingine niliyo attach, mimi mwenyewe ilinizingua kwenye windows 8 ikabidi nitafute hiyo nyingine.
   Attached Files

  14. uchumi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 3rd August 2009
   Posts : 11
   Rep Power : 633
   Likes Received
   2
   Likes Given
   1

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   e2themiza asamte sanaaaaa man imefanya kazi hyo trick yako. wewe mkali sanaaaaaaa man. jamii forums ndo kila ki2 jamaa

  15. araway's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th September 2007
   Posts : 424
   Rep Power : 811
   Likes Received
   57
   Likes Given
   576

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   dah~! mi yamenishinda ngoja niendelee na kale kamchezo ka ku unlock temporary ingawa kana boa
   Unreason is mostly not the practice of doing without reasoning altogether, but of relying on very primitive and very defective reasoning.

  16. #16
   fbf's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 27th November 2012
   Posts : 4
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   2

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   jaribu na hii pia, yenyewe tu inajieleza
   Attached Files

  17. Kiherehere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Posts : 1,667
   Rep Power : 898
   Likes Received
   362
   Likes Given
   1386

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   Quote By e2themiza View Post
   Njia ipo, but lazima uwe very careful cause unaweza ua modem, Yani ukapoteza IMEI na modem kutoweza kushika network.. but kama uko makini and careful it will take you 15 minutes hivi na modem itakuwa PERMANENTLY unlocked.. ni pm ukiwa tayari
   Mkuu vipi kwa Huwaei E960... ninayo ya Zain mzee nimechoka na kuwa na mfumo wa kufanyiwa ukiritimba...tafadhali e2themiza
   CONFIDENCE IS WHAT AM LOOKING FOR.... NOT HAPPINESS

  18. e2themiza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2011
   Location : Unknown Destination
   Posts : 960
   Rep Power : 5860
   Likes Received
   505
   Likes Given
   404

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   Quote By Kiherehere View Post
   Mkuu vipi kwa Huwaei E960... ninayo ya Zain mzee nimechoka na kuwa na mfumo wa kufanyiwa ukiritimba...tafadhali e2themiza
   Dah iyo mkuu sijui njia ya ku unlock
   scratch here ▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒ to reveal my signature

  19. JoJiPoJi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th August 2009
   Location : Mars
   Posts : 1,767
   Rep Power : 1386
   Likes Received
   358
   Likes Given
   121

   Default

   Quote By e2themiza View Post
   Dah iyo mkuu sijui njia ya ku unlock
   Mkuu na haka ka ZTE MF190 ka AIRTEL kanawezekana ku unlock?

  20. Njunwa Wamavoko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2012
   Location : /oscam/oscam.server
   Posts : 5,070
   Rep Power : 42945
   Likes Received
   1229
   Likes Given
   759

   Default Re: how to permanently unlock huawei E 153 USB MODEM

   Quote By deojames View Post
   tumia hio hapo nyingine niliyo attach, mimi mwenyewe ilinizingua kwenye windows 8 ikabidi nitafute hiyo nyingine.
   mkuu shukrani imeinstall lkn nimekwama kwenye file la ku-back up nimekosa ya kuchagua ,,,coz nimechangua moja ikasema error

  Page 1 of 4 123 ... LastLast

  Similar Topics

  1. msaada on how to unlock new vodacom usb modem e173
   By Mayu in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 47
   Last Post: 4th April 2014, 11:33
  2. How to Permanently unlock new AirTel Modems
   By Biohazard in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 1
   Last Post: 10th March 2014, 14:49
  3. how to unlock huawei EC122 usb modem
   By Umbly in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 10
   Last Post: 8th May 2013, 22:37
  4. Msaada: how to unlock huawei e960
   By deedee in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 1
   Last Post: 23rd February 2013, 16:50
  5. Msaada: how to unlock EVDO Broadband USB Modem ya sasatel
   By Msolo in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 8
   Last Post: 5th January 2011, 14:13

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...