JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: tiGo WAP Manual Configuration Settings

  Report Post
  Results 1 to 18 of 18
  1. Ramthods's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd June 2009
   Posts : 485
   Rep Power : 737
   Likes Received
   112
   Likes Given
   77

   Exclamation tiGo WAP Manual Configuration Settings

   Ndugu wana JF,

   Kama ulishawahi kujaribu kujiunga na wap service ya tiGo, na badala ya kutumiwa configuration unapata ujumbe kama 'Invalid or Unknown phone model', kuna njia mbili ambazo unaweza kutumia kupata huduma hii:

   1) Njia ya kwanza ni kutuma model ya simu ambayo ipo kwenye database ya tigo, mfano Nokia N70 badala ya model halisi ya simu yako. Hii ni kutokana na uchache wa entries ambazo tiGo wanazo kwenye database yao.

   Kama unatumia simu toyauti na Nokia, jaribu kutumia model nyingine ya simu yako, inawezekana ikawa kwenye database.

   2) Njia ya pili ni kufanya manual configuration kutumia settings zifuatazo:

   APN (Access Point Name) : tigoWap
   Proxy Server: 10.168.20.80
   Port: 8080
   Username:
   Password:

   username na password acha blank (haziitajiki)

   Kama utafanikiwa kuingiza configurations za hapo juu, utapata internet bila matatizo.

   Karibuni
   .... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....

  2. Maquiseone's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th February 2008
   Posts : 40
   Rep Power : 714
   Likes Received
   1
   Likes Given
   28

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   Quote By Ramthods View Post

   Kaka unatuma number ipi hiyo medel

  3. Maquiseone's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th February 2008
   Posts : 40
   Rep Power : 714
   Likes Received
   1
   Likes Given
   28

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   Mie natumia nokia E71 its ok, but kuna jamaa yangu ana nokia 3110 inagoma kupata setings na amewapigia sana na wanatuma setings lakini model hii haipokei.
   Tumejaribu kwa Zain na Voda inapokea vizuri but Tigo haitaki so please can someone help on that?

  4. Ramthods's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd June 2009
   Posts : 485
   Rep Power : 737
   Likes Received
   112
   Likes Given
   77

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   Kaka unatuma number ipi hiyo medel
   Andika Jina la simu yako, mfano NOKIA, acha nafasi ikifiuatiwa na Model, mfano N70 Kisha tuma kwenda namba 500.

   Mfano:
   NOKIA 3110 kwenda 500
   .... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....

  5. Ramthods's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd June 2009
   Posts : 485
   Rep Power : 737
   Likes Received
   112
   Likes Given
   77

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   Mie natumia nokia E71 its ok, but kuna jamaa yangu ana nokia 3110 inagoma kupata setings na amewapigia sana na wanatuma setings lakini model hii haipokei.
   Tumejaribu kwa Zain na Voda inapokea vizuri but Tigo haitaki so please can someone help on that?
   Kama haipokei, the only way ni kuingiza configuration nilizozitoa hapo juu manually.

   Ningekuelekeza jinsi ya kufanya, lakini sifahamu kama NOKIA 3110 menu yake inafanana na simu yangu. Me natumia NOKIA 5000d-2, Na pia nilishatumia NOKIA 2630. Zote nilifanya manual configuration.

   Procedure ni kama ifuatavyo:
   From the Main Menu, choose Settings
   Then chagua Default Configuration Settings

   Ikiwa kutakuwa kuna configuration tayari, delete zote kisha uanze mwanzo.

   Still in the configuration menu, scroll down and choose Personal Configuration Setttings
   The from the menu, choose Add New
   Chagua Web

   Then Jaza kama ifuatavyo:

   Account name : weka jina lolote mfano MyWeb
   Home page: weka web yoyoute, mfano www.google.com
   User name na password acha blank

   Kwenye Use prefered access point chagua No.
   Kama utachagua Yes hapo juu, basi kuna settings nyingine zitakuwa disabled na ni muhimu sana uzijaze.

   Chagu Access Point Settings (scroll down ili uione)

   Kenye Proxy, chagua Enabled

   Kwenye Proxy address enter : 10.168.20.80

   Kwenye proxy port enter 8080

   Chagua Bearer Settings

   Na kisha kwenye Packet Data acc. pt andika tigoWap
   Network type chagua IPv4
   Authentication type chagua Normal
   user name na password acha blank

   Hapo utakuwa umemaliza na utapata internet kama kawaida.

   Simu ya rafiki yako inaweza isiwe na mpangilio wa menu kama wa hapo juu, lakini nokia mara nyingi zinafana sana, so I hope haitakuwa shinda kwako.

   Karibu sana
   .... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....

  6. #6
   KASSON's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 13th September 2011
   Posts : 184
   Rep Power : 557
   Likes Received
   13
   Likes Given
   2

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   Ninawezaje kutumia internet nokia n95 8gb,natumia line ya tigo nikijaribu inaniandikia gprs not subscribed.

  7. #7
   KASSON's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 13th September 2011
   Posts : 184
   Rep Power : 557
   Likes Received
   13
   Likes Given
   2

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   Ukienda kwenye internet service-Edit profile unakutana na vitu vifuatavyo; 1.Select profile2.Edit profile ,hapa unakuta vitu vya kuedit 1.Rename profile,2.Homepage,3.Data account,4.HTTP,5.Username,6.Pa ssword,Hebu nisaidieni hapo,Simu yangu ya line moja made in FINLAND

  8. #8
   Paje's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th April 2010
   Location : BONGO DARESALAM
   Posts : 1,196
   Rep Power : 1261
   Likes Received
   435
   Likes Given
   133

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   wakuu internet ya tigo inakubali manually bila ya kuchagua proxy. proxy chagua disable. apn jaza internet au hat znet inakubali. save halafu nenda kwenye profile . i activate profile ya internet. utapata net kama kawa
   unlimited space , unlimited bandwidth at www.tanzaniawebsitehost.com

  9. Boniface Evarist's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2010
   Location : MIT
   Posts : 1,098
   Rep Power : 1267
   Likes Received
   382
   Likes Given
   630

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   Nenda kwenye PC, website ya Vodacom Tanzania - Homepage utakuta sehemu pameandikwa internet and services click hapo. Then click activate your device. Utajaza namba ya vodacom ambayo muda huo ipo kwenye hiyo simu. Utachagua aina ya simu 4 ur case ni Nokia utaenda next utachagua N95 8GB Then uta bofya next watakupa authetification code utajaza then next watakutumia code kwenye namba ya simu uliyojaza then utajaza ile namba na at last watakuba options zote ambazo simu yako inaweza kupata. Please chagua internet then next watakutumia configuration very shortly then kama unataka another service go back on step chagua huduma na kwenda next. Namna hiyo tu. Hakikisha internet inakuwa ndo default. Ukikamilisha hapo utakuwa na uwezo wa kutumia tigo, airtel na voda bila kuhangaika. Nimewasaidia wengi sana na imefanya kazi na ninafanya hivyo kwa simu zangu zote pindi nipatapo. Sitegemei utaniambia umeshindwa maybe iwe N95 ya kichina hapo sitashangaa!

   Muhimu: kama huna chip au laini ya voda azima ya mtu yeyote yule utatue tatizo lako, kumbuka kurejesha laini ya watu.

  10. #10
   YEYE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2011
   Posts : 440
   Rep Power : 600
   Likes Received
   68
   Likes Given
   12

   Default

   Quote By KASSON View Post
   Ninawezaje kutumia internet nokia n95 8gb,natumia line ya tigo nikijaribu inaniandikia gprs not subscribed.
   Fanya setting kupitia mtandao wa voda au airtel, zikikubalit weka line ya tigo na anza kutumia..au jaribu kufanya setting kupitia model nyingine ya nokia e.g nokia 6030

  11. #11
   LEGE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th October 2011
   Location : Mwenge dar es salaam
   Posts : 2,986
   Rep Power : 63043
   Likes Received
   916
   Likes Given
   426

   Default

   Quote By Ramthods View Post
   Ndugu wana JF,

   Kama ulishawahi kujaribu kujiunga na wap service ya tiGo, na badala ya kutumiwa configuration unapata ujumbe kama 'Invalid or Unknown phone model', kuna njia mbili ambazo unaweza kutumia kupata huduma hii:

   1) Njia ya kwanza ni kutuma model ya simu ambayo ipo kwenye database ya tigo, mfano Nokia N70 badala ya model halisi ya simu yako. Hii ni kutokana na uchache wa entries ambazo tiGo wanazo kwenye database yao.

   Kama unatumia simu toyauti na Nokia, jaribu kutumia model nyingine ya simu yako, inawezekana ikawa kwenye database.

   2) Njia ya pili ni kufanya manual configuration kutumia settings zifuatazo:

   APN (Access Point Name) : tigoWap
   Proxy Server: 10.168.20.80
   Port: 8080
   Username:
   Password:

   username na password acha blank (haziitajiki)

   Kama utafanikiwa kuingiza configurations za hapo juu, utapata internet bila matatizo.

   Karibuni
   mkuu kwenye simu za kichina ukiunganisha na tigo inagoma lkn uki2mia voda inakubali tofautikubwa ipo kwenye ip adress

   voda ip adress 010.154.000.008
   na tigo ip adress ni
   10.168.20.80

   sasa hapo huwa kwenye tigo inagoma kwa kuwa hz namba hazijakaa 3 tatu.Kila baada ya nukta na cm za kichina huwa zinataka ip adress ambayo inakuwa na mamba 3 kisha nukta .

   Kama tigo wana namba inayofanana na ya voda kimfumo plz naomba a2juze

   ila kwa wale wenye cm za kichina 100% zinakubali mim nishafanya hiyo setting kwenye cm kama 3 nazimekubali.Lkn nilienda mliman city kwenye ofis za tigo,voda,air tel wakashindwa kuniunganishia kbs.

  12. 3squere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Location : arusha to tanga
   Posts : 919
   Rep Power : 714
   Likes Received
   167
   Likes Given
   234

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   Tigo wamekuwa wauni sana nilienda kwenye duka lao hapa mlimani city nikawaomba wanielekeze wa kakataa nikawatupia lain yao nikaondoka mzuka ni voda bwana tuma neno wap nokia n70 to 15300 sasa iv unapata uduma asanteni

  13. Chief-Mkwawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2011
   Posts : 10,103
   Rep Power : 1367394
   Likes Received
   4034
   Likes Given
   0

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   kama ilivo jukwaa la siasa kuna mada ambazo zinaekwa juu zinazokua sticky kila ukiingia unazikuta naomba moderator waeke setting za mitandao kama hii post na ishu za modem juu ukiingia tu jukwaa la technology maana zinakua repeated sana nafkiri itasaidia

  14. #14
   sajo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 202
   Rep Power : 605
   Likes Received
   51
   Likes Given
   130

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   Quote By Ramthods View Post
   Ndugu wana JF,

   Kama ulishawahi kujaribu kujiunga na wap service ya tiGo, na badala ya kutumiwa configuration unapata ujumbe kama 'Invalid or Unknown phone model', kuna njia mbili ambazo unaweza kutumia kupata huduma hii:

   1) Njia ya kwanza ni kutuma model ya simu ambayo ipo kwenye database ya tigo, mfano Nokia N70 badala ya model halisi ya simu yako. Hii ni kutokana na uchache wa entries ambazo tiGo wanazo kwenye database yao.

   Kama unatumia simu toyauti na Nokia, jaribu kutumia model nyingine ya simu yako, inawezekana ikawa kwenye database.

   2) Njia ya pili ni kufanya manual configuration kutumia settings zifuatazo:

   APN (Access Point Name) : tigoWap
   Proxy Server: 10.168.20.80
   Port: 8080
   Username:
   Password:

   username na password acha blank (haziitajiki)

   Kama utafanikiwa kuingiza configurations za hapo juu, utapata internet bila matatizo.

   Karibuni
   sasa mimi natumia simu O2(oxygen) ni windows mobile hebu nisaidie nijunge na net ya tigo

  15. kholo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st July 2011
   Posts : 381
   Rep Power : 607
   Likes Received
   50
   Likes Given
   49

   Default

   Quote By sajo View Post
   sasa mimi natumia simu O2(oxygen) ni windows mobile hebu nisaidie nijunge na net ya tigo
   fuatisha mlolongo aliokuwekea hapo juu, acha uvivu!

  16. Junior Recture's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th January 2013
   Location : Central-africa
   Posts : 524
   Rep Power : 553
   Likes Received
   93
   Likes Given
   4

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   nimefanya manual setting inaload na mwisho INA andika request time out.

  17. #17
   ilonga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th November 2011
   Posts : 606
   Rep Power : 633
   Likes Received
   183
   Likes Given
   52

   Default

   Quote By Junior Recture View Post
   nimefanya manual setting inaload na mwisho INA andika request time out.
   Usihangaike na settings za miaka 6 iliyopita. Unatumia simu aina gani?

  18. mfianchi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st July 2009
   Location : Likulufusi
   Posts : 5,707
   Rep Power : 85901304
   Likes Received
   1511
   Likes Given
   2891

   Default Re: tiGo WAP Manual Configuration Settings

   Quote By Ramthods View Post
   Ndugu wana JF,

   Kama ulishawahi kujaribu kujiunga na wap service ya tiGo, na badala ya kutumiwa configuration unapata ujumbe kama 'Invalid or Unknown phone model', kuna njia mbili ambazo unaweza kutumia kupata huduma hii:

   1) Njia ya kwanza ni kutuma model ya simu ambayo ipo kwenye database ya tigo, mfano Nokia N70 badala ya model halisi ya simu yako. Hii ni kutokana na uchache wa entries ambazo tiGo wanazo kwenye database yao.

   Kama unatumia simu toyauti na Nokia, jaribu kutumia model nyingine ya simu yako, inawezekana ikawa kwenye database.

   2) Njia ya pili ni kufanya manual configuration kutumia settings zifuatazo:

   APN (Access Point Name) : tigoWap
   Proxy Server: 10.168.20.80
   Port: 8080
   Username:
   Password:

   username na password acha blank (haziitajiki)

   Kama utafanikiwa kuingiza configurations za hapo juu, utapata internet bila matatizo.

   Karibuni
   Aisee ubarikiwe maana simu yangu ilijifanya hamnazo na hapa nilikuwa najiandaa kuweka wese kwenye bodaboda yangu ili niende Mlimani City ,sasa umeniokoa mtandao wa kumwaga
   HAPA KAZI TU

  Similar Topics

  1. Tigo, tigo, tigo jamani, ni matatizo matupu leo!
   By Mkulima wa Kuku in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 10
   Last Post: 3rd November 2011, 18:57
  2. SMS settings
   By JAYJAY in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 3
   Last Post: 2nd August 2011, 19:55
  3. Wateja wa tigo tigo yaani mtandao wa tigo
   By MOSOLIN in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 19
   Last Post: 19th April 2011, 22:38
  4. Zain/Airtel Manual Settings?
   By sniper619 in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 9
   Last Post: 25th February 2011, 01:35

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...