Habari wadau. Hivi kuna namna ya kufanya zile simu za huawei ascend y200 zinazouzwa kwenye tigo shop zikatumia line nyingine yoyote. Kwa sass wamezi-lock kutumia line zao za tigo pekee. Naomba msaada tafadhali.