dah hii site ina kazi sana watu washa hac TCU Website![]()
dah hii site ina kazi sana watu washa hac TCU Website![]()
Dah kaz ipo kwa it wa kitz
ningefurahi zaid kama ingekuwa ya Wizara ya sayansi na teck'
Ingekuwa heslb
Duh!kutoka
Ministry of Health and Social Welfare
wizara ya mambo ya ndn na leo tcu duh!
hahaha.... Hii sasa hatariii
Natamani sana hii taaluma
KIKWAZO CHA MAENDELEO NI 'MCHAKATO"
mbona iko fresh tu
Kweli kuishi Tanzania kuona mengi
Hao anonymous nao sku hiz wamekosa kazi, TCU?....low!
If you love something, set it free; if it comes back.....its yours,...
if it doesn't.......hunt it down and kill it!
weak system security, admin page is unlocked and so people can try to login from any host. only need to find credentials
Admin area would be set accessible only through trusted hosts and NOT from anywhere
TCU - Login Screen
Alphonce
Tel: +255 767659145
url: www.primax.co.tz
hapa tcu wajifape, Ministry of Health and Social Welfare wamejirekebisha na kutengeneza website yao vizuri
ha ha ha eti kwamba ni administrator tu ndo anaweza kaka hivi hujui ishu ya php injection
Hawa jamaa maboya hawajui ke encrpypt page zao yaani sql+ php zinaachwa kiuvivu ivyo cheki ma facebook yaana anza na https:// ... means encpeypted ......si rahisi kuhack kimchezo ...thank u hacker
they did it again
ANY MAN WHO SAYS... "I AM KING", IS NO TRUE KING
Aliye hack hiyo tovuti namuelewa 100%.
Si mnatunyima kazi, madOkita wakidai haki zao mnawatupa mabwepande, walimu kesi, iko mahakaman, majudge fake, Subirien na sisi huku tuhack maledger book yenu ndo muipate fresh.
mnajua ni upuuzi huu. Watu wakihack tcu at the end nani anafaidika??? Mnaona kama mnaikomoa serikali kumbe mnamkomoa mtoto wa mkulima. let say mtoto wa kigogo amepata 3 na hana sifa ya kuchaguliwa tcu na kaona hii thread tcu ipo hacked so anaweza eka uwezo wake wote ili ampate hackers ili aekwe na yeye kwenye majina ya waliochaguliwa
Mwenzangu na mimi maskin yupo kijijni hajui kinachoendelea anaambia hujachaguliwa na division one anabaki nyumban hana hata wa kumtetea.
Msishabikie vitu kama hivi
Follow Us Here