jaman mi nina ps2 nikiweka cd inasoma mpaka kwenye walpepar inapotokea bac baada ya hapo itaload mpk kesho msaada anayejua cha kufanya
jaman mi nina ps2 nikiweka cd inasoma mpaka kwenye walpepar inapotokea bac baada ya hapo itaload mpk kesho msaada anayejua cha kufanya
umejaribu na cd nyingine , jaribu kusafisha lens ila kuwa makini usiiguse
hiyo ps inaingiza cd original tu, nenda kariakoo kama upo dar unapata kutoka buku tano mpaka kumi, kama ni original mlimani city au musa jiandae na 60,000/- , itakuwa ni cd basi
lenzi imekufa kama ni hivyo! nenda pale mtaa wa kongo kuna vijana wajanja wa kuzitengeneza ila wanagharama kiaina! jamaa yangu walimtengenezea kwa 60 ati, mimi yangu inadunda tu hapa ni pes1012 na magari! ila yangu niliinunua ya ukweli kidogo hajawahi haribika hata punje zaidi ya pad moja ndo imekufa na wala iyo pad sio org mana ps2 inakuja na pad 1 tu,nyingine unanunua mwenyewe! yangu ina 5yrs sasa na ni mpyaaaa balaa! PS2 tamu san kaka haina umri iyo
MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina
Hebu mtafute mtaalamu mmoja humu anaitwa leh atakusaidia.
dah NingaR *blush*![]()
![]()
kwa simple test tutaweza establish nini mbaya na ps2 yako. first, tafuta audio cd yeyote na uiplay thru your ps (ps zote, modded na untouched hucheza audio cds. ikicheza hiyo cd itakuwa imepass test ya kwanza ya kutest lens. baada ya hapo tafutana na dvd movie yeyote (mradi haijawa burned ni washikaji wa bongo as wanaburn dvd kwa mifumo ya ajabu) na uplay via ur ps2. ikicheza, ujue kuwa your ps2 ni unmodded na inabidi iwe chipped ili icheze dvd za kinyumbani. ikipass hii test, find another ps2 game ya kutest. if ikifail hata the new game, tafutana na blower (mafundi wa pc hawakosi) upulize upepo ndani ya lens as kuwa dust on the lens hufanya lens ipate shida kusoma.
if all that fails, nitafute nikufunze jinsi ya kucheza games off your hdd (itabidi uwena access to another ps2, mmc ya ps na external)
regards, leh & NingaR
![]()
"I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
"I trust everybody, it's theinside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)
tumewaelewa wazee wa kuongeza umasikin Tanzania badala ya kufanya kazi mnaangaika na material zilizotengenezwa na wazungu ili ziendele kuteka mawazo yenu na kuwafanya kushindwa kufikiria mawazo yenye mchango katika nchi yetu iliyo masikini
Colonization inaendelea kimpango huo
kaka hapo ukute cd imekufa tayari icheck ps yako kama ni pal cd zake zpo pale mlimani ni kuanzia sh 50000 na kama ni NTs nenda kariakoo zpo kuanzia tsh 5000 ila mimi nakushauri kama ps yako inasehemu ya Flash bora utumie Flash itakupunguzia gharama.
Follow Us Here