.............
.............
“The more you know, the more you realize how much you don't know — the less you know, the more you think you know.”
Watu wengine bwana,,Badala ya kufundisha watu vitu vya maana...
Labda kwa vilaza ila kwa sisi wataalamu hauwezi ficha kitu kwenye computer!! Nikifika tu nasearch *.avi or *.mkv or *.DAT or *.MOV or *.VOB or *.mpeg or *.mpg or *.m2v or *.mp4 videos zote zinakujaaaaa!!!
aah... Mbinu nzuri ya kuficha aina yoyote ya file ni hiihapo linakuwa haliload umemaliza kazi kwani umechange format na linakuwa unreadable.
- Mfano file ni .avi unarename kuwa .jpg
- so change file name pamoja na extension
Mi hidding yangu nikuchange extension ...eg ****.avi nachange kuwa sheria.doc hahaha /// itaonekana ka word kumbe video file ....but what if ukicheki properties..........// only advanced people ndio wataweza jua mchezo
unaweka.mp3
amefanikiwa huyu... Haya kafiche bathi... Teh teh teh![]()
Mkuu kwanza pole kwa ako kaugonjwa kako kenye madhara.. Tiba ipo, nipm nikupe tiba, athari za ako kaugonjwa ni kubwa kuliko dawa za kulevya
hebu ngoja njaribu hizu zangu kama zitakubali..............
!!..BAR ikiwa na wahudumu wa KIUME TUPU sikai dakika nyingi..!!
njia rahisi ni kuhide hilo folder coz ukirename na kubadili icon bado mtu akisearch atapata content, uki hide hata mtu akisearch litakuwa linarukwa, njia nyingine nikuweka kwenye system folders kama C:/Windows huku kwanza sio rahisi mtu kutafuta kwenye system folders, pia hata mtu akitumia search mara nyingi system folders n files uwa yanakuwa skiped
Nyie mnamatatizo sa kama ninaweza kihide porn kwenye pc ya boss ....easy way nikucheza na extension na mtu hawezi ....angaika nakitu ambacho ajakitunza ooooops........... ilo ndio jibu b kuchange folder wala kuhide ni akili za beginners
Follow Us Here