Msaada nataka mchangiaji akaione thread yake aliyoichangia mwaka jana nitampelekaje
Wakuu wakati tunachangia, nimekutana na mchangiaji kakataa kuwa hajawahi kutumia hayo maneno ambayo yamo humuhumu JF kwenye jukwaa lingine na mwaka jana lakini Heading naiona na amechangia No. 121 nitamwekaje ili abonyeze HAPA na atokezee kwenye No. hiyohiyo 121 badala aperuzi ukurasa mzima ambapo uangonga link na ku-copy sasa mm nataka nitokeze kwenye No. 121 aliyoichangia,
Pili kuliweka jina lake la uMember analolitumia mfano ukwaju akibofya aende moja kwa moja kwenye member huyo?
Sending by: BlackBerry 8100 Smartphone using JamiiForum
Follow Us Here