Wakuu habari za mida.
Nina portable Dvd player mupya na nimeitmia kwa miezi miwili. Tatizo limekuja juzi juzi, ukiweka dvd inazunguka weee then inakwambia NO DISC.
Sasa hv haizunguki kabisa.. Ukiweka dvd inakuwa kimya {yaani onaonesha neno reading,sekunde inayofata, NO DISK},
naombeni msaada kujua kama hili tatizo linarekebika au ndo nimepoteza.
Na je kama its possible, kwa makadilio inaweza kuwa sh.ngapi?? Thnx.

Reply With Quote

Follow Us Here