Msaada ya jinsi gani naweza ku sort it out bila kununua
Msaada ya jinsi gani naweza ku sort it out bila kununua
nyie mbona hili tatzo kila cku watu wanapost hili hili. Tafteni kitu kinaitwa windows 7 loader google ki download na kukirun...
Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
Mbona hiyo hiyo kitu solution yake tumetoa kitambo humu humu jamvini !!! Anyway Weka wazi unatumia windows gani ili iwe Rahisi kukusaidia!!!
ila kama ni windows 7 download software hii Win.Load.Daz.rar @ UppIT auDownload Win.Lder.rar @ UppIT then urun katika pc yako ita solve hilo tatizo
Last edited by Mr Kicheko; 5th August 2012 at 21:58.
Thx chief ni window 7. Let me try..ntakuhabarishen
chukua post ya nyuma ya MziziMkavu hapo chini nenda kaifanyie twisheni
http://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/265413-activate-windows-xp-without-a-genuine-product-key.html
hebu wakuu mnisaidie natumia window 7 na imeniandikia window is not genuine , nimefuata ushauri wenu kwenye jforum lakini computer yangu inashindwa ku-run window loader mliyoniambia nitatumia software gani ku-run hiyo win.load.daz.rar?
Hata mimi ime fail
Hapo mnaitaji windows 7 genuine tu Kwa anayetaka cd ya windows 7 ambayo ni genuine ani-pm
search google REMOVE WAT ukisha download make sure ku'turn off windows update!
Mimi nina window XP, nimejaribu hii ya MziziMkavu imefail/imekataa nifanyejee? Nisaidieni pse.
Jaribu hii-:
1:- Fungua note pad uyakopy hayo maneno hapo chini kama yalivyo then yapast kwenye hiyo note pad.
Windows Registry Editor Version 5.00
[HKEY_LOCAL_MACHINESOFTWAREMicr osoftWindows NTCurrentVersion]
“CurrentBuild”=”1.511.1 () (Obsolete data – do not use)”
“ProductId”=”55274-640-1011873-23081″
“DigitalProductId”=hex:a4,00,0 0,00,03,00,00,00,35,35,32,37,3 4,2d,36,34,30,2d,
31,30,31,31,38,37,33,2d,32,33, 30,38,31,00,2e,00,00,00,41,32, 32,2d,30,30,30,
30,31,00,00,00,00,00,00,00,86, 56,4e,4c,21,1b,2b,6a,a3,78,8e, 8f,98,5c,00,00,
00,00,00,00,dd,da,47,41,cc,6b, 06,00,00,00,00,00,00,00,00,00, 00,00,00,00,00,
00,00,00,00,00,00,00,00,00,00, 00,38,31,30,32,36,00,00,00,00, 00,00,00,b5,16,
00,00,83,83,1f,38,f8,01,00,00, f5,1c,00,00,00,00,00,00,00,00, 00,00,00,00,00,
00,00,00,00,00,00,00,00,00,00, 00,00,00,00,00,00,00,66,e5,70, f3
“LicenseInfo”=hex:33,b7,21,c1, e5,e7,cd,4b,fd,7c,c6,35,51,fd, 52,57,17,86,3e,18,
d3,f4,8c,8e,35,32,7b,d1,43,8d, 61,38,60,a4,ca,55,c9,9a,35,17, 46,7a,4f,91,fc,
4a,d9,db,64,5c,c4,e2,0f,34,f3, ea
[HKEY_LOCAL_MACHINESOFTWAREMicr osoftWindows NTCurrentVersionWPAEvents]
“OOBETimer”=hex:ff,d5,71,d6,8b ,6a,8d,6f,d5,33,93,fd
2. sasa save hilo kwa jina la Genuine.reg ( hakikisha pale kwenye save as type unachange kuwa All file). save kwenye Desktop ili iwe rahisi kuliona file lako
3:-ukishamaliza kusave nenda ktk Desktop alafu double click lile file then bonyeza ok mchezo kwishney
4:- restart pc yako uanze kutumia kama tatzo bado rudi tukupe njia nyingine.
Feedback pia ni muhimu mkuu.
Follow Us Here