WanaJF habarini za wikiendi,
Ninaomba msaada wa kupata software ya windows 7,computer yangu imeliwa baadhi ya mafile ya OS nahitaji ku install upya au kama kuna alternative naweza kufanya naomba msaada wenu,pamoja na microsoft office 2010 nidownload
msaada pls

Reply With Quote



Follow Us Here