Nina shida sana na Nitro PDF,nilifanikiwa kudownload file lenye program hiyo kutoka Media fire ambapo niliunganishwa na website hii www.kimsoftwarecrack.com/. File hilo lipo compressed na zip. Nimeshindwa kulifungua kwani inahitajika password ambayo nimeambiwa nitaipata kwenye website moja hivi ambayo nimegoogle na haipatikani. Nahitaji msaada tafadhali.

Reply With Quote


Follow Us Here