Want to Delete your Facebook account and No longer Exist in Facebook?. Now i think this will Help
CLICK HERE
Want to Delete your Facebook account and No longer Exist in Facebook?. Now i think this will Help
CLICK HERE
Thank you
Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja
Nimefika kwenye neno "delete my account" roho ikasita. Mweeh
Are you a quitter?
Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.
Mch futa ya kwako kwanza, mm baadaye
Sending by: BlackBerry 8100 Smartphone using JamiiForum
Hafuti mtu hapa!!!
dah... Hapo moyo unasita bana
Mimi nishajifutia zama hizoooooo!!!!!
Kama vipi achana na sita, hamia tisa sababu wataalam wanasema sita iliwahi kuwa tisa miaka mingi iliyopita na baadae ikageuzwa juu chini na ndio ikawa sita. Kwa hiyo moyo wako hautasita bali moyo wako utatisa, na hapo utaweza ku-delete akaunt yako ya facebook. Pia kwa mujibu wa theory za parmutations na combinations, yaani arrangement of words (kama ulisoma hesabu utakuwa unaijuwa hii), neno sita uki-arrange ktk njia tofauti, utapata maneno tofauti 24, mojawapo ya maneno hayo ni tisa.
Last edited by Baba Mtu; 6th August 2012 at 15:09.
MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
(I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)
Nisha-delete thanks!
Thanks
Kiongozi shupavu hawezi kutumia mabavu kuongoza, ni kiongozi dhaifu tu ndio atatumia mabavu kuficha udhaifu wake - Jenerali Ulimwengu
Follow Us Here