je ni sawa? Naomba munijuze wana jf
je ni sawa? Naomba munijuze wana jf
Dr Mbura wa CBE na Mzumbe??
OK,
Speed ikisoma Km120/hr inamaanisha kua kama ukitembelea speed hiyo constantly na consistently basi after 1hr utakua umefikia umbali wa hizo Km 120, regardless unatumia Lorry, Bus, Suzuki, Pikipiki au Guta.
Achana na mambo ya matairi, hayo yako calculated kwenye mfumo wa Gearbox so utofauti wake pia upo calculated.
assume time ni 1 second or 1 hr. then distance moved by a small tyre, umbali linapo kamilisha mzunguuko haitakuwa sawa kwa tyre kubwa kama ya scania bus au lori. ina maana kwa muda mmoja tyre kubwa linasogea mbali zaidi kukamilisha round yake. wakati dogo at the same given time litasogea umbali mfupi kukamilisha mzunguuko. Hivyo kubwa litakuwa mbele tu.
assumption time iwe constant ndio utaelewa.
kinachotoea hapa ni kwamba mzunguko ktk speed ya tuchukulie 120m/s au 120 km/hr katika diameter utafanana. lakini tofauti inakuja katika mzunguuko unakuwa mkubwa kwa tyre kubwa. tyre dogo lita cover only a small distance at a given time.
that is why gari kubwa spidi yake ikiwa 120km/hr ili kwenda sawa dogo linatakiwa liwe na zaid ya 120km/hr yaani 140km/hr. itategemea tofauti ta diameter (kipenyo chake).
i hope this helps.
upimaji wa speed ni ule ule katika magari mengi(malori na madogo)......kwahio ukiset up speedometer ya lorry na gari dogo ya lorry itasoma chini lakini itakimbia sana kwa sababu ya FLYWHEEL SIZE,TYRES.....however to AVOID THIS THEY DO CALIBRATION WHICH WILL MAKE 120KPH YA LORRY IWE SAWA NA YA CORROLLA........KEY WORD "CALIBRATION"
Kama ushawahi kuona zile PICK UP zinaitwa monster truck zina tairi za tractor haziruhusiwi kutembea barabarani mpaka zikafanyiwe CALIBRATION YA SPEEDOMETER.................
i hate politics.....
Another thing ambacho wengi wanaconfuse.......lori ina tairi kubwa kuliko saloon/suv kama zote zinakimbia 120kph ni sawa sawa ila tyre ya lorry itazunguka fewer times than saloon car but speed is the same......gari ndogo tairi litazunguka sana kupata 120kph but it is 120kph!
Angalia RPM ya lorry na gari ndogo.......ya gari ndogo iko juu....up to 8000 ili kucompasate udogo wa engine,gearbox
i hate politics.....
Kweli balaa kabisa........................ .. speed=distance covered/time, ili ujue unatembea speed gani hiyo ndio lazima ujue umefika umbali gani kwa muda gani,......................... .......si kweli kuwa matairi kuwa yanadetermine speed, huo ni utoto kabisa, kwa maana nyigine vitu visivyokuwa na matairi (ndege, boti, jahazi, chopper, baloon nk) sijui utawezaje kujua speed yake., ..... kumbe tunarudi palepale mpaka uwe na distance na time ndio unaweza kujua upo speed gani,,,....................... .........speedometer inachokifanya ni kupima kilometer/mile ngapi unazikava kwa muda gani, na hiyo hipo hivyo kwa magari makubwa na madogo.............kwa maana 120km/hr ya lori ni sawa kabisa na 120Km/hr ya pikipiki,,..................ka ma pikipiki na lori zinatoka point A kwenda point B (120km) kwa pamoja, na zote zinatumia 120km/hr (constant speed), basi zote zitafika point B kwa muda mmoja yaani exactly saa moja
Siyo siri nimesoma coment zote lakini hakuna nilichoambulia hapa....i mean hii mada ni pasua kichwa
Signature yangu nimeihifadhi kwa mda...usiitumie
Nadhani wakati mwingine ni vizuri kufanya reference kwenye vitabu kabla ya kuruka hewani. Ulichokileleza hapo si sahihi. Kwenye dash board kuna device inasoma revolution per minute for that particular car. so revolution per minute ya engine moja silazima iwe sawa na revolution per minute ya engine nyingine. That goes also to speedometer
wote tunaongelea jambo moja halafu tunajitofautisha kwa akili zetu wenyewe bila kuongeza na za mbayuwayu! Kama speed ingepimwa kwa usahihi (achana na issue za sijui tairi kubwa au ndogo) inamaana gari kubwa ingesoma mpaka speed 300. Nadhani ni issue za kiufundi tu kutokutaka gari kubwa lisome hivyo. Lakini kuna issue ya speed gorvener. Kila gari linawekewa hiyo ikiwa ni kulinda mzunguko wa injini. Na ndio maana utakuta magari makubwa yanayokimbia sana ni yale yaliyokuwa malori yakageuzwa kuwa mabasi ambao speed gornerner yake ya 120km/h imechakachuliwa. Lakini angalia marcopolo na youtong mbio zao ni sawa na zinazosomeka kwenye dashboard. Kingine ni uwezo wa kupanda miinuko. Kutokana na mzunguko mkubwa wa injini basi likiwa speed litapanda mlima kiurahisi kuliko gari dogo. Ni hayo tu
UDINI TUNAOUENDEKEZA UTASABABISHA NDUGU KUUANA MAANA HAKUNA FAMILIA YA KITANZANIA AMBAYO HAINA MUINGILIANO WA KIISLAM NA KIKRISTO!
Muuliza swali nafikiri amesahau kuweka assumptions kwamba labda hakuna foleni, wote mnapita njia moja, hakuna matope kokoto mchanga.
Na labda assumption ingine ku-cover hili swali ni kua wote mnaanzia kwenye speed sawa.
Maana RPM inaweza kusababisha Gari ikachelewa kuchanganya mwendo tukaisha ku-judge wrong.
JAMANI maana ya Speed Kilometer per hour (ni mbio/kasi utakayomaliza hizo kilomita (120 au 180) kwa saa moja)
Mfano
- kombora la SCUD ni kilomita 800 kwa saa (inaandikwa Scud ina 800kh/h) ina maana likifyatuliwa D'salaam litafika Bukoba ndani ya saa moja (ikiwa Dar mpaka Bukoba ni km 800 kwa Grid reference au kipimo cha kwenye ramani juu ya ardhi)
- Mfano huo huo upepo wa kimbunga cha Surnami unasafiri kwa 120km/h ina maana kutoka Dar-es-salaam mpaka Dodoma ni 450km itachukua masaa 3:45 surnami kufika Dodoma (120 x 4 = 480) maintain speed
- kwa hiyo upimaji wa speed katika magari ni International na inalingana katika vipimo vya SI Unit ndi gari lako au pikipiki inapasishwa
- kwa wale wanaotumia magari ya kiJapan km sikosei yote yanafungwa kifaa hicho ktk Flywheel ya gearbox ambayo kuna meno ya kupigia Starter (km ndugu yangu muuliza swali akohi unaweza lala mvunguni mwa gari yoyote utaiona cable ya chuma iliyoanzia mwishoni mwa Gera box kwenda kwenye dash body au fika garage yoyote waombe watakuonyesha)
- Utundu mwingine hata km ww sio dreva kaa mbele unapoweza iona dashbody ya speed ,maji, mafuta nk, halafu angalia km dreva anaenda speed (mshale) kati ya 40km/h mpaka 80km/h na mnatoka Dar kwenda Tanga pale Chalinze penye km 108 mtatumia saa 1:30 au masaa 2 lakini Chalinze - Segera kilomita 175 akitumia mshale ugonge 170km/h mpaka 180km/h mtatumia saa moja tu ndio maana hiyo dashbody ndanichini imeandikwa Km/h speed yoyote mshale itakaokuonyesha ndio utazimaliza kwa saa moja km ukimaintain (ukibakia hapohapo)
kwa hiyo asikudanganye mtu eti speed ipo kwenye ukubwa wa tairi au udogo, hata iwe kwenye vumbi au mlimani uatatumia mahesabu ya huo mshale wa speedkilometer
Vyombo vyote ni lazima viwe na kipimo hicho, iwe Skagit au Aeroplane ndo maana wanawaambia kabisa tutafika KIA au NYERERE INT. AIRPORT saa fulani kwa hiyo ni sawa kabisa na kusema uzito wa kilo moja ya pamba na chuma ni sawa
Sending by: BlackBerry 8100 Smartphone using JamiiForum
Shark kwa lita zote ni sawa lakini kwa uzito uji ni mzito kutokana na concetration ya Liquid yake labda unngetoa mfano
- wa Volts za umeme 12v, 250v 33Kv
- na watts 9w,100w, 1500w 2000w
Volts = Petrol inayotumila kuchoma injini ili ifike huko iendako (km umeme kuchemsha maharage utatumia 220v na amp13
lakini lazima upate watts 2000 ili plate ipate moto mkali wa kuivisha maharage kuliko kutumia 9w za bub ya energysaver mfano joto lake kuchemshia maharage
vivyo hivyo kwenye majiko liwe la sahara, general (two plate ya mchina) zote zikitumia 2000w wataivisha maharage ndani ya nusu saa
nadhani mfano huu unarandana samahani watu wa HKL
Sending by: BlackBerry 8100 Smartphone using JamiiForum
Gari kubwa linapata advantage ya momentum na drag(air resistant kuwa ndogo, na uzito unalifanya tairi ijishike ardhini na kujivuta vizuri).
Baada ya gari kubwa kupata mwendo uzito unalipeleka zaidi.
SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.
Wow you are more confused, tyres are a factor in determining the speedometer calibration not the speed of the vehicle. Ukibadilisha matairi kwa gari uweke size nyingine sasa wafanya speedometer iache kuwa accurate. A car travelling at a speed of 121kph can overtake a lorry travelling at a speed of 120kph so long as their speedometer callibrations are as accurate as the manufacturer specifications.
Hata hizo tractor zilizo na gurudumu size tofauti kama imefanywa calibration ya speedometer inaambatana na gurudumu la nyuma na counter gear halafu ubadilishe tairi uweke kubwa ama ndogo unacho affect ni speedometer sio speed kwa hivyo speedometer itakuwa inakudanganya kasi yako ni 120kph ilhali unaelekea 130kph.
Follow Us Here