je unahtaji kupata free dstv channels kupitia zukudish,au c band dish?
Au unahtaji kupata free internet...thru code flan flan kweny browser yako?...
je unahtaji kupata free dstv channels kupitia zukudish,au c band dish?
Au unahtaji kupata free internet...thru code flan flan kweny browser yako?...
yes pm me for free pls
yes.tiririka sasa
sitaki.
wizi dhambi.
"NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU" socrates
Wapenda bure tumesha kaa mkao wa kupokea, mwaga mambo
mwaga data basi au tu pm maujanja
Leta maufundi brother, tumesha kaa mkao wa kudaka.
jamaa anasubiri msululu uwe mrefu kama tunajisajili NIDA
mimi natumia lile la mchina...startime nadhani nayo yawezekana!!
Mwaga basi hayo matundu humu jamvini au fanya kwa pm ila kama lengo ni biashara ama mambo ya kuombana voucher kama yule nanii upati mtu humu mkuu!!!!!!!
Krapka Davinoooooooooooooooo
We dogo ebu funguka basi tukariri hiyo mistari....!!!
Au ndo yale ya kuwajambisha wenye Mabusha teh teh teeeh.......!!!!
aseme aone..mi niko dstv hapa!!!!nawafungia!
Acha uzushi banaaa
Follow Us Here