wadau ni wapi naweza jaza wino catridge za hp printer kwa bei nafuu hapa dar es salaam
wadau ni wapi naweza jaza wino catridge za hp printer kwa bei nafuu hapa dar es salaam
He! ungelikuwa mwanza ningekusaidia, lakini kwa ushauri 2, ni bora ufanye kila uwezavyo ununue wino wa kujaza mwenyewe kwani ni bei na fuu na unatumia kwa muda sana, wakati kujaza hapa mwanza ni elfu kumi Mls 40/50 lita moja ya wino houhuo ni elfu 50000.
kuna sehemu nilikuwa najaza kwa elfu kumi na tatu sema ni kitambo sana, afu nimesikia kuna sehemu ni more cheaper than that so nataka nijaribu na kwengine
Mimi huwa najaziwa fresh Hp 21(black) @Tsh 5000 na Hp 22(tri-color) @10,000 zile tonner ni Tsh 20,000/=
Jamaa wanapatikana maeneo ya Kisutu sema jina la oficce yao limenitoka kidogo.
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
Baada ya cartridge ya mwanzo kuisha, Chukua bomba la sindano, nyonya wino kama mils 40-50 then juu ya hiyo cartridge kwenye lile karatasi lenye nembo ya hp pamoja na number ibandua toka juu kuelekea chini, halafu utaona tundu moja katikati, hapo chomeka sindano then kuwa kama daktari anavyodunga sindano halafu wino utashuka baadaye utaona wino umejaa hapo chomoa sindano, puuliza kidogo kwenye hilo tundu ili wino ushuke na chukua kitambaa angalii chini ya hiyo cartridge kutakuwa na matone ya wino hapo tayari kwa kazi.
Nb. hii ni kwa ajili ya black
- baadhi ya printer specifically hp 2050 na 1050 zinasumbua sana, kiufupi hazifai kwa issue kama hii nakushauri usinunue
Useful,thnk Dr. Rich
Da asantane mana hapa nilikua napiga mahesabu ninunue printer ingie ya elfu 70 kuliko wino wa 50
asa mm ninayo hiyo hp 2050 mamaaaaaaa! nimekufa na ilo gaka ila huwa najaza cjui itaanza kugoma lini!
Thanks JF kwa kushare ujuzi na experience! Mie wino uliisha nikanunua cartridge mpya kwa 150,000/=
Next time nitajaribu kujaza.
Sasa kama hp 2050 ni bom ni ipi nzuri kwa matumizi tupe uelewa zaidi, ili mimi niuze hii yangu ninunue nyingine.
Ni ngumu hasa kusema ipi ni bora zaidi, ila kwa uzoefu wangu nunua hp 2600 series, 1600 series, 4038 hizi ndizo ambazo nimezitumia na nimezifurahia, kiufupi nafikiri ambazo hazina mbwembwe nyingi kama vile scanning na photocopy hizi ni bora zaidi kuliko zile za multipurpose
endeleen kumwaga maujuz jaman
endeleen kumwaga maujuz jaman,ila mmenitouch hapo kwenye hp 2015 coz ndo nimeinunua juz tu
Follow Us Here