Wa ndugu nimekwama, naomba msaada wenu, vipi nitaweza kubadili file la video liko ktk vlc na
kuwa window media player
Wa ndugu nimekwama, naomba msaada wenu, vipi nitaweza kubadili file la video liko ktk vlc na
kuwa window media player
Hakuna kitu kama file la vlc waa la windows media player, zote ni program zenye uwezo wa kufungua video files za aina mbali mbali, kama unataka kuifungua na Windows Media player basi right click chagua Open With.. Kisha chagua Windows Media Player. Au fungua windows media player nenda File.. Open na ifungue hiyo file, kama WMP ina uwezo wa kuifungua itaicheza.
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”
Download foxtab video converter itakuwa imesolve na maswali ambayo hukuuliza, na nyie mnaojifanya hamjaelewa haya m-download hiyo program ni free ware.
yaan huyo nlivyo muelewa n kwamba vdeo zake zmeweka icon ya vcl so akiplay tu moja kwa moja inaplay via vcl alkua anataka a change i con ile...
Kama case ni hiyo basi option hizi zinakufaa GAMBLER,
1. right click video file
2. properties
3. Kuna sehemu ya open with (change)
4. then chagua propgram unayotaka.
usiogope kujaribu jaribu, maana najua hiyo ni sehemu ya maisha yako "gambler".
"No matter how busy you may think you are, you must find time for reading, or surrender yourself to self-chosen ignorance" Confucius (551-479 BC)
unachosema ni kweli, wmp haiwezi kuplay flv mpaka uinstall codecs zake au upadate hiyo wmp to latest version...flv inaweza kuchezwa na player nyingi tu nyinginezo lakini sio wmp at default!!
kwa kukusaidia chek hizi link:
Media Player Codec Pack for Microsoft Windows
Download Codec Pack All-In-1 6.0.3.0 - FileHippo.com
na nyingine nyingi tu uki search google!!
The signature you are looking at now does not exist.....
nafikiri tatizo lake liko katika format - ni bora ali convert file kwenda mpg - litafunguka katika player zilizo nyingi ikiwemo WMP. FormatFactory ni nzuri katika kufanya conversions.
Follow Us Here