Wandugu nina project zangu sasa natafuta software ambazo naweza kutumia kuendesha hizo project mfano cost analysis, cost alocation na zitakazo weza kuendesha kila kitu nikawa nakiona nakijua vizuri tofauti na sasa ambako vitu vingi tunashindwa kuendesha vizuri kwa ufasaha

Reply With Quote

Follow Us Here