1.Wakuu naomba kujua hii huduma ya Wi-Fi inafanya kazi vipi? 2. Simu yangu ni Nokia E5 je hiyo huduma inafanyakazi?
1.Wakuu naomba kujua hii huduma ya Wi-Fi inafanya kazi vipi? 2. Simu yangu ni Nokia E5 je hiyo huduma inafanyakazi?
Unajua Kiingereza?? nijibu ndo tuendelee na darasa.
vitu vingine sio vya kuuliza wajamini google kwanza ukikosa ndio uulize
tuwe tunajishughulisha kiakili na sio kutafuniwa kila kitu
Watanzania bwana kazi kweli kweli
haya bofya hapa Wi-Fi - Wikipedia, the free encyclopedia
You may know me but you have no Idea who I am !
Jaman kiingeredha.
WiFi ni wireless network iliyo kwenye 802.11 standard, kama ambavyo tunaweza kuunganisha computers kwa kutmumia network cable, WiFi inatumika kuunganisha simu, computers na wireless devices nyingine ili kuweza kupata huduma mbalimbali ikiwemo internet
WiFi ili kupata huduma yake ni lazime kuwe na mtoa huduma hiyo jirani kabisa na sehemu ulipo maana inaweza kuunganishwa kwenye simu au computer kwa umbali usiozidi mita 200
Watoa huduma wa WiFi ni migahawa ya internet, hotels nk
Vifaa vinavyotumika kutoa huduma ya WiFi ni wireless routers na WiFi access points
Hope nimekupa mwanga
Kwa ufupi WI-FI kama ipo kwenye cm yako ni huduma unayoipata free kuttoka sehemu yeyote kwenze maeneo uliyopo.
Wi-Fi ( /ˈwaɪfaɪ/, also spelled Wifi or WiFi) is a popular technology that allows an electronic device to exchange data wirelessly (using radio waves) over a computer network, including high-speed Internet
Windows Vista and Windows 7 improved Wi-Fi support over Windows XP with a better interface and a suggestion to connect to a public Wi-Fi when no other connection is available.
Kwa kifupi ni Teknolojia iliyopo sasa inayokiweszesha kifaa cha electronic kupeleka /kupokea taarifa bila kuunganisha waya au kebo kweye Laptop, kompyuta version za Vista na Window 7, Modem tunazozitumia kupitia mashirika ya simu au simu hasa BlackBerry, Android, Nokia (achana na simu za kichina) hasa wakati unapounga na Internet
Watengenezaji wameionyesha zaidi kwa rangi ya Bluu hasa kwenye Laptop au Modem huwa inablink
zaidi ya hapo ingia Wikipedia na google
Sending by: BlackBerry 8100 Smartphone using JamiiForum
ivi wi-fi haiwezi kukava WAN?maaana hapa tulipo tunapata y acoflani nanajua ko mbali na hapa
Jamani hili ni jukwaa la tekenolojia na ufundi, mtu anapo uliza swali kitekonolojia basi ajibiwe kitekonojia, mtu akiuliza swala la kiufundi basi ajibiwe kiufundi. Shukrani kwa wote wanaolewa nia na malengo la jukwaa hili. Tuko pamoja humu MaPro MaEng MaTech na wale wanopenda kujifunza tekenolojia na ufundi. Wakubwa tusiangushane wala tusiliangushe jukwaa. Naomba kuwasilisha.
WAN nam Wlan ni vtu2 tofauti.me nimeuliza WAN
Wireless Fiction.............
Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te
WAN ni wide area network. Hii hakika ni internet,
WiFi ni local wireless networks ambazo kwenye back end yaani upande wa mtoa huduma za WiFi anaaunganisha kwenda kwenye WAN ili kuunganisha wateja wake kwenye internet
Hayo ndio mahusiano ya WiFi na WAN. Ila note kitu muhimu ni kuwa si kila WiFi network inatumika kukuunganisha kwenye internet service. Mtu anaweza kutengeneza network ya aina hii kwa shughuli nyingine kama file and printer sharing within local network
Nashukuru mana nilikwa nafikiri Wi-Fi is only for LAN.
Follow Us Here