ebu tusaidiane hapa...ingekuwa wewe hapo ungefanyaje?
ebu tusaidiane hapa...ingekuwa wewe hapo ungefanyaje?
Unaomba MUNGU tu!
Ni rahisi kupambana na nyoka kuliko wengine hivyo hapo ni kuangalia uwezekano huku maombi kwa Mungu yakiongoza kupambana na nyoka hata kwa kumkamata kichwa na kumtupia kwenye maji.
Ila ukiwa katika hali kama hii haya mawazo hayo huwa hayapo du!huu mtihani!
You can never have someone praise you,nor will anyone condemn you,never in the past,not at present and never will be in the future.
Hapo unasali ....Ee baba mikononi mwako naiweka roho yangu halafu unatulia!
The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!
You can never have someone praise you,nor will anyone condemn you,never in the past,not at present and never will be in the future.
hapo wote unawapa "Hi.." afu anaachana nao!
"Every person tells minimum 4 lies per day i.e. approx 1460 a year!! & the most common lie is "I m fine"!
- unamtupa nyoka kwa simba kile kiwewe lazma mmoja wao akimbie na akiingia kwenye maji mamba kapata kitoweo.
-unaangalia direction ya mto sisi wa kijijini tunajua sku zote mamba lazima apishane na maji. Maji yakishuka mamba anapanda so ukiruka sehemu maji yanaposhuka mamba hawezi kufata maji yataingia kwenye sehemu ya haja kubwa.
ningekuwa mimi nachapa ucngizi, nikiamka kila mmoja kashasepa
ukifanikiwa kutoka hai ktk hali kama hii ujue hiyo ni ndoto.
Hii picha inanikumbusha miaka ile,vitabu vya shule vilikuwa vinakontents za ukweli.Hapo solution ni kufumba macho,ukifumba macho hao wanyama hautawaona wala hilo tawi linalotaka kukatika hutaliona.Fumba macho and relax until the end of time.Nb:Not all solutions are perfect solutions
ukifikia hali hiyo ujue ushaisha. Dawa ni kupiga maombi nyoka ageuke kamba, mamba wawe samaki na simba awe mpole kama mbuzi
ipelekwe kwenye jukwaa la mada mchanganyiko, au mathematics inahusika nin?? mi hii ni ndoto na si vinginevyo
Most discoveries happened by accident!
The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!
Follow Us Here