ebu tusaidiane hapa...ingekuwa wewe hapo ungefanyaje?
ebu tusaidiane hapa...ingekuwa wewe hapo ungefanyaje?
Unamtemea mate nyoka halafu atazubaa akisha zubaa unamkamata unamtupia kwa simba hapo simba lazima atimue game over.But try at your own risk.
Mi narukia nchi kavu kisha nachukua shoka na kupambana na simba.
MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
(I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)
Komaa na nyoka mtupe nchikavu ili apambane na sima wakati wewe ukisepa kama kipepe!
...btw, hili jukwaa la tech unachomoa simu na kuingia jf kuomba msaada zaidi! Lol
ningekubali siku zangu zimeisha. allah nipokee
"I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
"I trust everybody, it's the inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)
Mimi hapo ningevua nguo zote halafu nikarukia upande wa simba,simba lazima tu angekimbia kwa sababu angejiuliza na mshangao mh! mnyama gani ana mkia mbele, teh teh teh teh!
Me ningemuomba Mungu anigeuze niwe Mchina ili ni'deal na huyo nyoka kwa kumchoma mishkaki mingi sana then namwekea kachumbali halafu najitafunia nyama kwa raha zangu...Ahahahaha!!
If you love something, set it free; if it comes back.....its yours,...
if it doesn't.......hunt it down and kill it!
Yaa hapo hamna mgomo!!Lazima ujisalimishe tu!Naona mzee whitehouse chini yamti,Geshi lamaji standby,nawakurugenzi wahalimashauri on action!Kazi kwa Mkoba!!
Katika hali ya kawaida kabisa hiyo haiwezi tokea ila kwa kuwa ni kitendawili kama yalivyo maisha ya mwanadamu kitatuliwe ka sala. Ukisali utapata ujanja a kumdaka nyoka ka nguvu na kumtupa majini apambane na mamba alafu unajitupa kwa simba kama unamvaa huku ukimkazia macho atakimbia ila nawe utawanyike kuelekea upande mwingine maana wamasai wanasema sima anaaibu sana hasa mwanaume unapomwangalia machoni bila kupepesa macho yako ila akisahakimbia lazima atarudi akiwa amejipanga upya. Jibu mahususi la kutegua kitendawili. Ila kumbuka kuwa lazima ukiwa unafanya hayo useme MUNGU Mikononi mako naieka Roho yangu, naomba unisamehe dhambi zangu zote.
Follow Us Here