Thank you all. The thread has expired once again, sorry for inconvenience.
Thank you all. The thread has expired once again, sorry for inconvenience.
Last edited by EMPTY; 22nd July 2012 at 15:21. Reason: SORRY FOR INCONVENIENCE
Dreams Can Be Fulfilled If You Work Hard With Your Full Dedication ....
Private Mkuu
Ngoja tuwasikie na wengine watasemaje!!
Dreams Can Be Fulfilled If You Work Hard With Your Full Dedication ....
Sawa mkuu.
haya mambo yawe yanatupiwa nyt kali mfano 1am hadi 5am..post inafutwa....mwendo mdundo..otherwise ndio yatakuwa mambo ya utamu unakuja utamu unakata...
Ok wakuu. Kee an eye at midnight for the trick.
Dreams Can Be Fulfilled If You Work Hard With Your Full Dedication ....
Mid night sio mbaya ila iwe kwa pm tu maana public kila mtu anapita hata mpita njia ananyaka hiyo ishu matokeo yake watu wanabeba na kumwaga haya mautamu kwenye Uso kitabu utamu wote kwishney.
Ok mkuu abulzahra labda unapendekeza nani na nani warushiwe pm (ambao una wa-trust.??)
Dreams Can Be Fulfilled If You Work Hard With Your Full Dedication ....
Swali muhimu sana hili na jibu lake ni gumu sana. Mimi naamini tunaojaribu kuwakwepa ni waajiriwa na wanaofanya kazi kwenye ofisi zao mchana, wakati wa usiku wanakuwa wamechoka, wamelala ili waweze kuamka mapema kuwahi kazini kuendelea na majukumu ya kazi.
Hivyo mambo yetu yakiwekwa hadharani katika muda wa midnight, tunaweza kufanikiwa kuwakwepa. Napendekeza iwe usiku na publicly.
oya pm watu unaowa trust kaka na mie anaeni trust ani pm
OKOKA YESU YU KARIBU KUJA DUNIANI
Wakuu hii ni kitu kdogo sana ngoja nianze kuPM halafu uone kama sio kichekesho.
msinitenge na mimi jamani kwenye PM
Wikendi hii wa2 hawalali bora pm.
imeishia wap hii? we are waiting.
"ONE OF THE PENALTIES FOR REFUSING TO PARTICIPATE IN POLITICS IS THAT YOU END UP BEING GOVERNED BY YOUR INFERIORS" Plato
HINT: SASA ISIWE MTU UNAMEGEWA MAUJANJA PM ukataka masifa kwenda kuyapaste facebook au kwenye blogs zenu....HAPO TUTAKUWA TUNAJIUMIZA WENYEWE TENA HUO NI UJIN*#A
Follow Us Here