Kama kuna kwenye hizo serial number msaada please
Kama kuna kwenye hizo serial number msaada please
Last edited by Ngalewa; 25th June 2012 at 20:17.
Kweli kaka, hii kitu inazingu a balaa hasa ikipita kipindi cha trial basi inakuwa kirus
Usihangaike kutafuta serial no. mkuu, maana hata ukizipata hazidumu, wanablock. Tafuta cracks zinapatikana bure kwenye torrent. Nimejaribu ku upload hapa ninayotumia lakini naona net inazingua. Jaribu hapa
Nimegundua hiyo niliyotoa hapo juu ina mzunguko mrefu. Chukua hii, it is All in One!
Mkuu Mrimi, nikishaona kitu kipo katika torrent basi raha huwa inaisha, hivi unaweza kudownload kabla sijaupload file lolote?
Mkuu kama ilishakuletea fake licence naomba ucopy hii file nayo upload hapa ukaipaste kwenye hii location
1. Program files
2. Internet download manager
3. halafu paste humo kwenye IDM program files
halafu run hiki kifile hakikisha unapause antivirus yako ili isilete tafrani mkuu halafu
4. Patch server
Please usihangaike na keys za kwenye hii crack mkuu.
wewe ukishapatch biashara imeisha mkuu
Ur Done
Kwani hakuna IDM z bure?
KIKWAZO CHA MAENDELEO NI 'MCHAKATO"
Hivi niki reinstall window then niki install IDM upya si itakuwa poa tu.
Thanks mkuu!
Kuna hii ambayo ina sifa kama IDM yenyewe ni bure aliwahi kutoa Chief Mkwawa cku moja
http://download.tensons.com/download/DAMsetup.exe
Nitazipataje hizo crack msaada bas mana nimejaribu njia ya jamaa aliyoonyesha hapo juu ila nikashindwa.
BONA NILISHAWEKA POST KABLA YA HII KITU SEMA VIJANA MMEKOSA MAARIFA KILA CK MNAIBUKA NA POST MPYA WAKATI MNACHOTAFUTA KIMO HUMU HUMU JF KITAMBO ANYWAY CHUKUA HII HAPA
*UKISHADOWNLOAD DISABLE ANTI VIRUS AFU UEXTRACT RAR FILE NA KUINSTALL KULINGANA NA MAELEKEZO UTA KAYOPEWA UKISHAMALIZA ENABLE AN-T MCHEZO KWISHA
Last edited by Mr Kicheko; 30th June 2012 at 01:11.
Nashukuru kamanda wangu
Imekubali
Mzuka mwana!!
Follow Us Here